Kwanini ununue spea used Dubai?

geranteeh

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2015
Posts
268
Reaction score
646
1. Spea ni genuine zimetolewa kwenye gari kama yako iliyotumika Dubai

2. Gari zikizotumika Dubai ambayo tunauza vifaa vyake nyingi watumiaji wake walinunua zero km na ndiyo maana vifaa vyake vinakuja na condition nzuri yani vifaa vya used Dubai vina hali nzuri kuliko vifaa vya gari yako.

3. Taa used Dubai zina condition nzuri bila ukungu zikiwa na vifaa complete mfano Balbu na Busta.

4. Vifaa vya body kama milango, bonet, Bampa na mashavu viko kwenye condition ambayo huitaji ku fix kitu.

5. Unaokoa muda na gharama ya kuagiza kifaa direct toka dubai ambacho unakipata hapahapa tu.

Tunauza Spea za gari ndogo aina zote Kama vile Taa, Mabampa, Milango, Show, Mountings, Radiator, shockups Nk. Tunapatikana ilala machinga complex tunaangaliana na msikiti wa songea
WA MJINI MALIPO UKIPATA MZIGO WA MKOANI MALIPO UKISHATUMIWA MZIGO
Tucheki 0655513132 au 0738092811

 
Una hakika spea used zinazouzwa Dubai magari yake yalitumika hapo Dubai?
 
1. Nitafutie Mass air flow sensor ya Nissan Serena, engine c23 ya 1997.
2. Wind screen yake kama unayo
3. Na air cleaner
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…