ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
-
- #301
Sasa itakuaje baasi opoa yoyote yuleUmumikivu unachelewesha maendeleo.
Anachelewesha watoto shule.
Sitakii πAje kuokoa jahazi.
Basi nakuopoa weweSasa itakuaje baasi opoa yoyote yule
Sababu zako ni kama vile unawasilisha mswaada bungeniSababu ni zile zile hazijawi badilika mkuuππ
Mie hopana aiseeBasi nakuopoa wewe
Hebu sema vizuri mjukuu! Maana kwenye madhambi yake huniitiπββοΈπββοΈHaya sasa matusi π€£π€£
Si unaona sasa. Watu hamko serious. Umesema opoa yoyote kumbukaMie hopana aisee
Share hivyo vitu kwa faida ya membersBattle za kipuuzi na wanawake
Na pia ujifunze kua msiri sana
Hata kama unajua kitu kama hakina faida ukisema basi usiseme
Mf: mimi kuna baadhi ya vitu najua humu ila nitaenda navyo kaburini
Maana hata nikisema hakuna faida nikinyamaza hakuna hasara
Nitakuita nikimuona saiv baado wewe ndio mkorofiHebu sema vizuri mjukuu! Maana kwenye madhambi yake huniitiπββοΈπββοΈ
Hapo sasa umenielewa, wazee wa hovyo ni dili sana town πKweli nimeamini wewe mzee ni wa hovyo ππ , Sawa mubaba nimekusikia
Mimi siyo type ya kuopelewaSi unaona sasa. Watu hamko serious. Umesema opoa yoyote kumbuka
Watu wapo single ila wanazagamuana ,hii nashangaa sanaWatu wameamua kujipenda wenyewe.
Ni rahisi ku share mambo yangu kuliko ya watu ππShare hivyo vitu kwa faida ya members
Mda mchache vip hadi wewe mahiπWatu wameamua kujipenda wenyewe.
Kwanini Dm na sio hapa
Una share tu ,halafu kesho unaomba msamaha ulilewa ,simple tu.Ni rahisi ku share mambo yangu kuliko ya watu ππ
Ulivyosema niopoe yoyoye ulimaanisha yupi mwenye type ya kuopolewa?Mimi siyo type ya kuopelewa
Usifanye mambo kua magumu bro leo ni weekend tunataka mijadala soft sio kuanza kuumiza kicwa tena πUlivyosema niopoe yoyoye ulimaanisha yupi mwenye type ya kuopolewa?