ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
-
- #161
π₯π₯Natulia boss
πππUmejuaje silali bila kusikiliza hii yoooβ₯οΈ
Leo siku yangu ipo π₯π₯β₯οΈβ₯οΈπππ
Ahaa OK ila Namkubali sana hizo old rnb,Mzee nina Library yangu to home, ina ngoma kibao mkuu
Humu JF kuna mdada alikuwa anajiita Being single. Unaweza kuwa unafahamu id yake ya sasa?Umeanza mashairi sasaπ€£
Ila Mkuu, unazunguka sana aiseeπππ
View attachment 3607645
Tonight, I'm gonna make it up to you
Tonight, I'm gonna make love to you
Tonight, you're gonna know how much I missed you, baby
Tonight, I dedicate my heart to you
Tonight, I'm gonna be a part of you
Tonight, you're gonna know how much I miss you
And I miss you so
Oh yeah
Hivi duniani kuna taifa ambalo linafuata sheria kwa 100%?Ningekuwa naishi nchi inayofuata sheria, ningekuwa nae
Angalau ingekuwa 30% sasa hata hzo chache hakunaHivi duniani kuna taifa ambalo linafuata sheria kwa 100%?
ππππππ
View attachment 3607645
Tonight, I'm gonna make it up to you
Tonight, I'm gonna make love to you
Tonight, you're gonna know how much I missed you, baby
Tonight, I dedicate my heart to you
Tonight, I'm gonna be a part of you
Tonight, you're gonna know how much I miss you
And I miss you so
Oh yeah
π π Haya mu enjoy sasa vizuri kabisa, mie niendelee kusikiliza hapa na weekend saafiπππ
Hapana siifahamuHumu JF kuna mdada alikuwa anajiita Being single. Unaweza kuwa unafahamu id yake ya sasa?
Ngoja tuone mda ndio msema kweli
Only when am in your presence, we huoni.Umeanza mashairi sasaπ€£
Natafuta wa kumalizana naeNoma sana aisee
Thank you ππ π Haya mu enjoy sasa vizuri kabisa, mie niendelee kusikiliza hapa na weekend saafi
SioniOnly when am in your presence, we huoni.
Hapa Afrika social and economic status yako ndiyo inayoamua upate haki kiasi gani.Angalau ingekuwa 30% sasa hata hzo chache hakuna
Kila la kheri mkuuNatafuta wa kumalizana nae
Nilivyoona jina la uzi wakoHapana siifahamu
hiyo I'd ana nini huyo dada?