Urusi inaendelea na vikao vya siri ambavyo vinahusisha yeye kuyaongoza mataifa ya kiislam kuipiga Israel, cha kushangaza ni kwamba urusi na hayo mataifa watapigwa tena kipigo cha aibu milenia.Salamu wakuu,
Huu ni mshangao wangu na watu wengi kuona Irani inapigwa alafu Urusi yupo kimya hajasema lolote mpaka sasa. Kwangu mimi nilitegemea mashambuluzi ya marwkani itakuwa ndo sababu ya Utusi kumkingia kifua Irani na ingeweza kupelekea WW3, lakini haijawa ivo.
Nafikiria sababu nne zinazopelekea Urusi kutotoa msaada:
1. Iko bize na vita vyake na Ukraine na kwa ivo haiwezi anzisha vita juu ya vita
2. Biashara ya mafuta inainufaisha Urusi kwa kuwa ni mzalishaji mkubwa na bei imepanda kwa sababu ya vita ya Irani, kwa ivo maslahi kwanza
3. Uhusiano mzuri wa Urusi na Saudia pamoja na UAE hautakuwi kuharibika, kwa kuwa saudia na UAE wanamdiss sana Irani na wanatka aanguke ivo Urusi kumuunga mkono Irani anaweza kuwakera hawa marafiki wazuri na wenye faida zaidi kwake
Kwako wewe unaona sababu gani inamuweka mbali URUSI kwa IRANI?
Umechambua vema sana...na wasiwasi wangu ni kwamba NATO NA USA wanaweza kuigeukia urusi baada ya iran..maana dunia ina unafki mwingi sanaSalamu wakuu,
Huu ni mshangao wangu na watu wengi kuona Irani inapigwa alafu Urusi yupo kimya hajasema lolote mpaka sasa. Kwangu mimi nilitegemea mashambuluzi ya marwkani itakuwa ndo sababu ya Utusi kumkingia kifua Irani na ingeweza kupelekea WW3, lakini haijawa ivo.
Nafikiria sababu nne zinazopelekea Urusi kutotoa msaada:
1. Iko bize na vita vyake na Ukraine na kwa ivo haiwezi anzisha vita juu ya vita
2. Biashara ya mafuta inainufaisha Urusi kwa kuwa ni mzalishaji mkubwa na bei imepanda kwa sababu ya vita ya Irani, kwa ivo maslahi kwanza
3. Uhusiano mzuri wa Urusi na Saudia pamoja na UAE hautakuwi kuharibika, kwa kuwa saudia na UAE wanamdiss sana Irani na wanatka aanguke ivo Urusi kumuunga mkono Irani anaweza kuwakera hawa marafiki wazuri na wenye faida zaidi kwake
Kwako wewe unaona sababu gani inamuweka mbali URUSI kwa IRANI?
Kesho mp wa Iran anaenda urusiUrusi inaendelea na vikao vya siri ambavyo vinahusisha yeye kuyaongoza mataifa ya kiislam kuipiga Israel, cha kushangaza ni kwamba urusi na hayo mataifa watapigwa tena kipigo cha aibu milenia.
Mataifa ya Kiislamu yapi?Urusi inaendelea na vikao vya siri ambavyo vinahusisha yeye kuyaongoza mataifa ya kiislam kuipiga Israel, cha kushangaza ni kwamba urusi na hayo mataifa watapigwa tena kipigo cha aibu milenia.
kuna kikao kinaendelea urusi akiwa kiongozi, iran, north korea, china, turkey wanamsikiliza urusi wakijadili, wakiwaza na kuwazua na urusi nini cha kumfanya Israel maana ni rasmi sasa beyond reasonbale doubt na macho na masikio ya nyama yameona ambayo tumekuwa tukisema Iran kamwe haiwezi na hatoweza kishinda Israel mille kivita.Kesho mp wa Iran anaenda urusi
wewe unayajua yapi?Mataifa ya Kiislamu yapi?