Mwenye kujua anifahamishe. Huwa nashangazwa sana kwanini dollar ya mmarekani haiuzwi wala kununuliwa kwa kufuata thamani? Na badala yake wanaangalia denomination ya bill.
Mfano kama ni dollar 50 - 100, chini ya dollar 50 zinakuwa na exchange rate tofauti.
Je si wizi huu wandugu? Kuchenji kwa rate tofauti tofauti wakati value ya pesa ni ile ile?