KENNY JEEZY
JF-Expert Member
- Apr 19, 2015
- 271
- 275
Hii forums imekusanya watu wa fadni zote wapo hapa, watakuja tu kutoa majibuHao wanaopanga hizo thamani waulize ni kwanini wananunua na kuuza kwa viwango hivyo. Huku utakua unatuonea
sawa mkuuLaw ya demand na supply inahusika. Dollar ndogo hazihitajiki sana hususani wakati wa kuzinunua ndio maana unaona kuna utofauti wa bei