Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Hii ni moja ya sababu, FB(meta) walitoa pesa kwa kampuni ya consulting inayofanya kazi na Republican ambao ndio wanadhibiti congress kwa sasa, mwisho wa siku ni kulinda tu US Hegemony kwa gharama yoyoteNadhani Tik tok ni tishio Kwa Instagram.