Yeye atakuwa anajua...nameles girl kwanini huyu kijana mdogo wa miaka 27 anaandamwa sana humu nini kinapelekea hivyo au kwa sababu anatema sana yai nini[/QUOTE
Yeye atakua anajua...
Nina beef na nyani ngabu koz anajifanya wa usa halafu anajiita junkpole sana mkuu
Jose kaka umepoteaNgoja aje
Hahahaaaaa.... Ngoja nipiteeee... Naona mkuu unaandaa uwanja wa mapambano... Ngoja nifate bisi...
Nipo hapa kaka sijapotea mbonaJose kaka umepotea