ingekua import duty zinalipika hata Watanzania wangeweza kuleta mitambo mingi tuu au hizo gari za biashara zinaongeza ajira na kupunguza adha ya usafiri bila kutegemea wageni ambao mapato mengi wanayopata yanarudi kwao tena badala ya kujenga Nchi..Serikali amkeni kuhusu hilo punguzeni import duty kwenye mitambo na hayo magari ya biashara..