Kwanini utie huruma?

Joined
Oct 8, 2018
Posts
34
Reaction score
25
Kwenye maisha yako avoid sana kuto kuja kutia huruma kwa watu waliofanikiwa...

Siku zijazo ndani ya mwaka huu kuna watu watakuja kwa wale walioamua kuwekeza ndani ya Beastborne Ecosystem na kutia huruma sana.

Wakati tumewafata kwa upendo na kuwafundisha Biashara na wakatuona ni watu tuliochanganyikiwa sasa iweje mtu mzima kwenda kutia huruma kwa mtu aliechanganyikiwa?


#Blockchain #Metaverse #NFTs #Forex #Crypto
 
Kuwa kwanza tajiri ili uwe Kama Dangote baadaye uje utuambie hayo maneno, usije ikawa lengo lako ni kutaka hela za watu Ila unajifanya kuwa unataka kuwapa success, jipe kwanza weww bila ya kuwatumia Kama mchungaji ama mwanasiasa anajitafuta Ila anawaambia wananchi kuwa naenda kuwaletea maendeleo
 
Wazee wa kudanlodi mipesa.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Unaweza ukaona kwa upande wako haifai nimetoa taarifa kwa mtu anaehitaji maarifa haya ya Teknolojia sio lazima uwe wewe kuna watu wanatamani kujifunza hivi vitu na wengi wametapeliwa ndio maana nawapa maarifa zaidi sio kutamani mm kile ninachokimiliki kwenye hizo system kinanitosha kuniondoa kwenye Umasikini mm mpaka kizazi cha tano katika generation yangu...

Lakini mm ni mtu wa kuwapenda watu wengine ndio maana nashare na wengine waweze kujifunza na kuelewa hapa natoka Dodoma kukutana na Viongozi baadhi kuwapa Elimu hii tuendelee kuwaza negative kwa kila kitu tutavuna tutakachopanda...
 
You're impacting fear and something like regret at future ili watu wa join kwako.
Unahangaika nini Sasa Kama umeshaondoa umasikini kwa kizazi chako mpaka cha Tano, Kaa uenjoi Maisha Kama unazo nyingi Jenga hapo shule like laizer uiachie serikalini itakuwa ni Chachu kwa wengine kuja kwako na pia utatoa somo utaeleweka Ila sio kwa mtindo wa kutaka kutoa watu hela.
Kukutana na kiongozi sio safety net ya wewe kukubalika, mbona wapo wanaotapeliwa ,pia viongozi sio kuwa wako un susceptible to human flaws , they ain't saint or know all creature.
Waandae kizazi chako kije kuitawala kizazi cha kuwaza Hadi hasi
 
Nafikiri bado unahitajika kusafisha ufahamu wako It's thoughts like yours that are holding back progress in this nation.

I have said several times that lack of self-awareness breeds hatred, selfishness, and evil spirits. Tujitahidi kuishi kwa upendo na kuwafanya watu wengine wafikie mafanikio na sio kutamani kufanikiwa peke yako.

Ndio maana tunaona kama mafanikio ni kwaajili ya watu waliojaaliwa tu lakini pia kuamini kuwa umasikini ni sehemu yetu kwenye maisha tuache kufunga fahamu zetu.

Kama wewe unaona ulipo panakufaa acha wengine wajifunze na hapa nimesema natoa Elimu hii bure na kumuonyesha mtu njia ya kuweza kufanikiwa hakuna anaelazimishwa kufanikiwa sipendi kuona watanzania wenzangu wanapigwa hela na wakina LBL, FIC sijui Kalyinda na nyinginezo kwasababu ya kukosa maarifa tu.

Acha kukatisha watu tamaa endelea kuishi kile unachokiamini bila kupangia watu wengine maisha yakuishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…