Kwanini Utumishi wanachukua muda kuita watu kwenye usaili LGs na MDs?

Kwanini Utumishi wanachukua muda kuita watu kwenye usaili LGs na MDs?

Mike_

Senior Member
Joined
Jan 9, 2021
Posts
190
Reaction score
246
Habari wakuu.

Ni mwezi wa nne Sasa tangu utumishi watangazi ajira kwa kada tofauti katika LGs and MDs Ila hadi mwezi huu hawaja ita watu kwenye saili.

Tatizo ni utumishi kuwa na watumishi wachache au ni kukosa accountability kwenye kazi zao?
 
Huu uzi tuunganishe kwenye uzi mwingine

Mods na hili mkalitazame..
 
Back
Top Bottom