Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alafu Bora ingekua wakati hizo nafasi zinatoka zote kwa pamoja yule mtu Bado hajapata ajira walau ingemake sense,unakuta mtu yupo tayar kwenye payroll zaidi ya miez miwili au mitatu inamaana hawana namna ya kutrace wakaona kwamba huyu mtu tayar amereport kwingine wakasave nafasi kwa ajili ya wengineHili la kutoa option ya mtu kupata nafasi sehemu kadhaa alizofanyia usahili, binafsi naona kama usumbufu fulani hivi hata kama ni haki ya mtu kuchaguliwa mara kadhaa halafu yeye achague anapopapenda.
Yaani mtu unawekwa benchi kisa fulani asubiriwe achague anapopapenda ndipo wewe uliyefaulu pia upewe nafasi.
Nashauri iwe mtu akishapata nafasi asiwe na probability ya kuchaguliwa tena kwa nafasi zingine alizofanyia oral ili atoe fursa kwa wengine kuata nafasi moja kwa moja.
Wizy kagoma kutujibu Leo ila yupo onlineSijui kapotelea wapi, tunamuhitaji humu
Jamaa hawaeleweki...ila kwa kweli ingekua vzr mtu akipata sehem bs wasimrudie tena kwenye mikeka mingine asbrie aje aombe transferAlafu Bora ingekua wakati hizo nafasi zinatoka zote kwa pamoja yule mtu Bado hajapata ajira walau ingemake sense,unakuta mtu yupo tayar kwenye payroll zaidi ya miez miwili au mitatu inamaana hawana namna ya kutrace wakaona kwamba huyu mtu tayar amereport kwingine wakasave nafasi kwa ajili ya wengine
Wizy ameona majina na nadhani amepata anandaa insha ya shukrani na ushauri nasaha kwa vijana mkajiajiri yeye kalamba asali tayari pale ORCI😂 yup online tangu placement itoke na yupo kusherekea tu huko na weekend hiiWizy kagoma kutujibu Leo ila yupo online
Bado nasubiria jumatatuHvi uneshaenda kituoni tayari?
Utaniweuwa wewee😋😋[emoji28][emoji28][emoji28]angalau wewe tunaweza kuongea
Wanazingua tu.Alafu Bora ingekua wakati hizo nafasi zinatoka zote kwa pamoja yule mtu Bado hajapata ajira walau ingemake sense,unakuta mtu yupo tayar kwenye payroll zaidi ya miez miwili au mitatu inamaana hawana namna ya kutrace wakaona kwamba huyu mtu tayar amereport kwingine wakasave nafasi kwa ajili ya wengine
Anatutesa sana kama anavyoteswaga na warembo[emoji3][emoji3][emoji3]Wizy kagoma kutujibu Leo ila yupo online
Yeah ingekuwa mtu akipata Sehemu Moja basi awe hawezi kupata kwengine ndani ya kipindi flaniHili la kutoa option ya mtu kupata nafasi sehemu kadhaa alizofanyia usahili, binafsi naona kama usumbufu fulani hivi hata kama ni haki ya mtu kuchaguliwa mara kadhaa halafu yeye achague anapopapenda.
Yaani mtu unawekwa benchi kisa fulani asubiriwe achague anapopapenda ndipo wewe uliyefaulu pia upewe nafasi.
Nashauri iwe mtu akishapata nafasi asiwe na probability ya kuchaguliwa tena kwa nafasi zingine alizofanyia oral ili atoe fursa kwa wengine kuata nafasi moja kwa moja.
Sio kweli, Mimi lile neno selected for ni la kijaniAhmet kuna jamaa katupiga kuwa ukiwa na selected for null yenye rangi nyekundu ndo umelamba asali wale wa kijani wamekula ndoige je kuna ukweli wowote halo
Hizi re-advertise za MUHAS call for interview ipo kimyaaa..Anatutesa sana kama anavyoteswaga na warembo[emoji3][emoji3][emoji3]
Hili swala utumishi wanapaswa kulifanyia kazi.Alafu Bora ingekua wakati hizo nafasi zinatoka zote kwa pamoja yule mtu Bado hajapata ajira walau ingemake sense,unakuta mtu yupo tayar kwenye payroll zaidi ya miez miwili au mitatu inamaana hawana namna ya kutrace wakaona kwamba huyu mtu tayar amereport kwingine wakasave nafasi kwa ajili ya wengine
📌
Zinaweza kutoka kabla mwaka haijapinduka na kufikia January mtakuwa mshaitwa kaziniHizi re-advertise za MUHAS call for interview ipo kimyaaa..
maaana nataka nije na comeback
Nina motooo nao.. maana sio kwa ile ndoige walio nipigaaa..Zinaweza kutoka kabla mwaka haijapinduka na kufikia January mtakuwa mshaitwa kazini
Ni zile kazi za SUA au..?Nina motooo nao.. maana sio kwa ile ndoige walio nipigaaa..
nikajihisiiii cfaiii kuwa Academician.
Mbna bado received mkuu.TRA mkeka pendwa umeachiwa hewani haya jobless mkapambanie kombe
Kama wametoa basi anagalia jina lako kwenye mkeka .. sio mambo za received tena.. namba itaappear mda wowote from nowMbna bado received mkuu.