Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Toka nikandwe pale CIVE june MDA LGA mwaka jana nimeamua kuingia VETA kipawa kusoma graphix. Sio poa mazee[emoji3][emoji24]
Unakata tamaa mapema sana kaka.

Mimi nilifanya written mbili kwa kipindi Tofauti zote nilikandwa nikaja na mbinu moja za kivita ..

Written ya tatu tulikuwa kama Mia 8 nilivyomaliza nikataka kupanda gari nisepe duh matokeo yanatoka nipo na mimi nikaingia Oral kwa mara ya kwanza wala sijawahi kukata tamaa.

Na hata leo ikija received nyingine Twende Tu.
 
Namshukuru Mungu wa mbinguni, baada ya miaka Saba bila ajira, hatimae na mm leo nimelamba asali!!! Asante Mungu, Ahsante Wana jamii forum. Tusikate tamaa kabisa.
Mungu ni mwema mkuu! Hongera sana
 
Back
Top Bottom