Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikaa zaidi ya miaka 8 na hatimae nikapata, usijipe sababu ya kukata tamaa pambana utapata.Daah inawazisha sana mkuu[emoji3] na muda unayoyoma mazee many yrs no job huu ni uchwara
Hivi kazi za veta hazinaga maswala ya data base?, maana juzi kuna watu wameachwa na wamefaulu nashangaa tena wametangaza nafasi mpya mwezi huu wakati mwezi wa kwanza wamefanya na mwezi wa pili teali wameitwa kaziniHaya mkaongeze received huko, naona VETA wameamua.....
[emoji2][emoji2]duuh tusikate tamAA tuzipambanieHivi kazi za veta hazinaga maswala ya data base?, maana juzi kuna watu wameachwa na wamefaulu nashangaa tena wametangaza nafasi mpya mwezi huu wakati mwezi wa kwanza wamefanya na mwezi wa pili teali wameitwa kazini
Sijakata tamaa mkuu ila najipa uwanja mpana kugusa na vitu vingine ili maisha yaweze kwenda wakati tunasubir asaliNilikaa zaidi ya miaka 8 na hatimae nikapata, usijipe sababu ya kukata tamaa pambana utapata.
Mi reveived naongeza kama kawa kaka hamna kukata tamaa sema niliamua kujichomeka upande mwingine ili kusukuma maisha wakati tunajitafutaUnakata tamaa mapema sana kaka.
Mimi nilifanya written mbili kwa kipindi Tofauti zote nilikandwa nikaja na mbinu moja za kivita ..
Written ya tatu tulikuwa kama Mia 8 nilivyomaliza nikataka kupanda gari nisepe duh matokeo yanatoka nipo na mimi nikaingia Oral kwa mara ya kwanza wala sijawahi kukata tamaa.
Na hata leo ikija received nyingine Twende Tu.
Ilikua kama 250 ivi miezi mitatuHongera kwa hayo maamuzi umefanya vyema kuongeza ujuzi
Ni kozi ya muda gani na kiasi fee yake?
Inafunguka mbonajaman webu inafunguka huko kwenu?
ok hapa nilipo naona haifungukiInafunguka mbona
Duh!!! hii kaliJamani hv inakuwaje utumishi wanaitaji watu 10 lkn oral wanachukua watu 159? Mwenye majibu pls
Uhitaji Mkubwa Wakati wanaita mtu mmoja kwa mwezi mzimaDuh!!! hii kali
mpka wanavunja sheria walizoweka wenyewe...
Labda uhitaji ni mkubwa
Hawa watu inahitaji uvumilivu unaweza kukosa usingizi .....Uhitaji Mkubwa Wakati wanaita mtu mmoja kwa mwezi mzima
Kuna kada ya katibu kamati tulipiga 158 oral na wanaitaji watu 10Uhitaji Mkubwa Wakati wanaita mtu mmoja kwa mwezi mzima
Ndiyo mwiongoni mwa kada wanazotoa jina moja kwa mweziKuna kada ya katibu kamati tulipiga 158 oral na wanaitaji watu 10
Achana nao kumamke zao hao.Jamani hv inakuwaje utumishi wanaitaji watu 10 lkn oral wanachukua watu 159? Mwenye majibu pls