Kwanini uzinzi ni dhambi? Arggghh!

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Kwa nini uzinzi ni dhambi? Watu tumekubaliana kwa ridhaa yetu kula raha, sijamchukua mke wa mtu. Huyu niliyemchukua mimi hana mume, bwana wala boyfriend. Kwanini kwa kulala naye niambiwe mimetenda dhambi? Mambo mengine yanaudhi kweli!!!!
 
Hapo hamna ridhaa cuz hamna mtu aliyehalalisha kitendo chenu.
Ili hilo tendo liwe halali, lazima kuwe na shahidi... ambaye ni kama shekhe, mchungaji, padri au afisa mwenye mamlaka hayo!
 
hivi watoto wa adam na hawa wali zaanaje?
 
mbona mm nina mpnz wangu_lakn hatutendi dhambi,..inategemeana na wewe mwenyewe unavyojifikiria
 
<br />
<br />
mi nadhani wanaosema ile ngomosi ni dhambi naona hawana nguvu za kuyapiga maji ya mto wa uzima
 
Mmmmmmhhhhh! Kwakweli nami nakereka sana...... ni uingiliaji wa consensual agreements za watu........
 
Nimeipenda hii,kumbe dhambi ni mtazamo wako tu.
 
Kwa nini uzinzi ni dhambi? Watu tumekubaliana kwa ridhaa yetu kula raha, sijamchukua mke wa mtu. Huyu niliyemchukua mimi hana mume, bwana wala boyfriend. Kwanini kwa kulala naye niambiwe mimetenda dhambi? Mambo mengine yanaudhi kweli!!!!

kama si dhambi kwa nini mnajificha?
 
Kwa nini uzinzi ni dhambi? Watu tumekubaliana kwa ridhaa yetu kula raha, sijamchukua mke wa mtu. Huyu niliyemchukua mimi hana mume, bwana wala boyfriend. Kwanini kwa kulala naye niambiwe mimetenda dhambi? Mambo mengine yanaudhi kweli!!!!

kama mmekubaliana mnaona wakati wa kula tunda umefika asi muoane tu? kwanini mkae kujihuliza dhambi au si dhambi wakati ushaambiwa ni dhambi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…