Kwa nini uzinzi ni dhambi? Watu tumekubaliana kwa ridhaa yetu kula raha, sijamchukua mke wa mtu. Huyu niliyemchukua mimi hana mume, bwana wala boyfriend. Kwanini kwa kulala naye niambiwe mimetenda dhambi? Mambo mengine yanaudhi kweli!!!!
Kua mpagani then hautakua unatenda dhambi!

Napita nikaona si vibaya kuwasalimu hasa Bujibuji
Bujibuji,
Kwa nini unatishika na neno dhambi?? endelea kuponda raha siku ukifa mambo yatajulikana mbele kwa mbele
Kumbe kuna Mashetani humu kha! Kwa kukufuru kwako Omba Rashi kwa Muumba wako na Jamii PiaKwa nini uzinzi ni dhambi? Watu tumekubaliana kwa ridhaa yetu kula raha, sijamchukua mke wa mtu. Huyu niliyemchukua mimi hana mume, bwana wala boyfriend. Kwanini kwa kulala naye niambiwe mimetenda dhambi? Mambo mengine yanaudhi kweli!!!!
we kweli bujibuji. hivi maandiko ya dini yako kwani yanasemaje. its ok by the way. jaribu kujenga picha hii hali.Kwa nini uzinzi ni dhambi? Watu tumekubaliana kwa ridhaa yetu kula raha, sijamchukua mke wa mtu. Huyu niliyemchukua mimi hana mume, bwana wala boyfriend. Kwanini kwa kulala naye niambiwe mimetenda dhambi? Mambo mengine yanaudhi kweli!!!!