Kwanini Viagra na dawa nyingine za kuongeza nguvu za kiume zaweza kusababisha kifo?

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,067
Reaction score
10,938
Ili mboo iweze kusimama, inahitajika damu nyingi isafirishwe kwenda huko,na ili kufanya hivi moyo inabidi ufanye kazi ya ziada kusukuma kiasi kikubwa sana cha damu.

Ndiyo maana wakati wa kutombana utakuta moyo wa mwanaume unapiga na kwenda kwa kasi sana.Wengine hata unaweza kuusikia kabisa ukiunguruma.



Imeshathibitishwa Kisayansi

Kwamba kukosa nguvu za kiume ni dalili mojawapo kubwa ya kuwa katika hatari ya kupata matatizo ya moyo. Presha, kisukari (diabetes), unene na kula vyakula vyenye mafuta sana pamoja na kunywa pombe kupita kiasi vyote vinachangia.

Kwa hivyo ukiona jogoo limeshindwa kupanda mtungi, pengine ni vizuri uende kwa daktari ukachunguzwe kama moyo wako ni mzima, upunguze unene (kama ni mnene), badilisha lishe na punguza pombe.

Ni hatari sana kukimbilia kwa waganga ambao sio wataalam wa mwili wa binadamu kwa ujumla maana wao wanachojari ni pesa au kutafuta njia ya mkato kwa kufakamia viagra bila kujua kwanza chanzo cha tatizo lako la kutosimamisha mboo.

Kwanini Ujitie Katika Hatari?



Sasa ukifakamia viagra au hizi dawa zingine za kuongeza nguvu za kiume - dawa ambazo hata ubora wake na chemical composition yake haieleweki unakuwa unajitia katika hatari.

Dawa hizi zinafanya kazi kwa kuifanya mishipa ya damu kuanzia kwenye moyo itanuke zaidi na hivyo kuweza kusukuma damu kwa wingi kuelekea kwenye uboo na sehemu zingine za mwili.

Ndiyo maana watengenezaji wa viagra, cialis na madawa mengine ya kuongeza nguvu wanasisitiza sana kuwa kabla hujafakamia mavidonge yao haya, hakikisha kuwa moyo wako hauna matatizo na kwamba unaweza kuhimili mikiki mikiki ya kutombana.

Na ukidindisha kwa masaa manne mfululizo wanashauri sana ukimbilie hospitali ili ukasaidiwe!


Case ya tajiri wa Arusha and the like

Sasa huku kwetu mtu hata hajui kama moyo wake ni mzima halafu anaamua kufakamia ma-viagra haya kisa eti akamkomoe demu. Matokeo yake ndo kama huyu tajiri wa Arusha - moyo unashindwa kuhimili usukumaji wa damu wa kinguvu huo na unazimika.

Vitendo vya watu kufia kwenye majumba ya kulala wageni wakiwa na wanawake vimezidi sana na mimi nadhani siyo kutupiwa majini wala nini bali ni hizi dawa za kuongeza nguvu za kiume.

Please, kama ni lazima ufakamie viagra kabla ya kutomba, nenda kwa daktari kwanza ukachunguzwe moyo wako.

Na kama una magonjwa mengine kama kisukari, presha au bonge la kitambi, pengine ni bora tu uepuke kutumia madawa haya.

Na viagra au cialis huwa haipendi kuchanganywa na madawa mengine hasa yale yanayolainisha na kutanua mifupa ya damu kama aspirin na mengineyo.


Chanzo: MITISA

Njia za kulimaliza tatizo la upungufu wa nguvu za kiume
 

Attachments

  • Kudindisha kutoka Rahatupu.jpg
    38 KB · Views: 2,128
  • viagra power.jpg
    20.2 KB · Views: 1,831
Sasa si ungesema ulipoitoa sasa kuliko kujifanya yako kumbe umekopi somewhere
 
Sasa si ungesema ulipoitoa sasa kuliko kujifanya yako kumbe umekopi somewhere

Umeona wapi nimeandika kuwa ni yangu? "...kukaa kimya ni jibu la mjinga!"
-Leila Rashid (Jahazi Modern Taarab)​

 
Umeona wapi nimeandika kuwa ni yangu? "...kukaa kimya ni jibu la mjinga!"
-Leila Rashid (Jahazi Modern Taarab)​


Ulitakiwa useme ulipoitoa kwani ungewapa credit waloandaa hiii makala ungepungukiwa kituuu???
That's plagiarism..

Ila hapo ulipomalizia nimeelewa wewe ni mtu wa aina gani sorry.
 
Ulitakiwa useme ulipoitoa kwani ungewapa credit waloandaa hiii makala ungepungukiwa kituuu???
That's plagiarism..

Hebu acha ubishani usio na tija...

Huoni mwisho wa hii habari kuna chanzo kimeambatanishwa?

Msituharibie jukwaa letu, huku watu huwa wanatoa hoja kisayansi tu...
 
Ulitakiwa useme ulipoitoa kwani ungewapa credit waloandaa hiii makala ungepungukiwa kituuu???
That's plagiarism..

Ila hapo ulipomalizia nimeelewa wewe ni mtu wa aina gani sorry.
Mkuu acha u much know ili jukwaa la science maelezo marefu yakutaka chanzo ya nn..??? We chukua somo upite iv..!!
 
Ukikosea ni busara kushuka chini...am so sorry kwa mtoa mada.
He has been humble throughout wala hakupanic.bravo mkuu
 
Usi hofu mwana..!!! Dah itakuwa kwel una nisoma corse hii ID niko nayo everywhere...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…