Uku muelewa ni kevin hart n kampuni yke ndo walikuwa wanashangaa ni jinsi gan diamond ana viwers wengi youtube hata kumzidi rozayKuna Youtube Channel ya DJLilOmmy WA Times Fm itafute uisikie mwenyewe akifanya nae interview jaymos flan hivi tarehe uno 2weeks ago.
Amechuja, amekuwa na misifa ya kijinga. Amejaa minyodo mpaka kwenye nyayo za miguu yake. Inasemekena ni womanizer. Mwenye na mchukia kiasi kwamba nikisika wimbo wake unapigwa nachang station fastaDavido ni mega superstar, na ni msanii ambaye amesign na Sony internationa ndani ya management mpya.
Ndani ya wiki mbili zilizopita ameachia ngoma mbili, gbagbe oshi na ingine. Lakini nimeshangaa sana sina views kidogo ukilinganisha na ukubwa wake, tofauti kabisa na Psquare ambao wimbo wao wa benki alert umepokewa vema.
Je, davido ameshachoka kimziki, au ni Diamond anamloga, au kwakuwa kabadili staili ya kuimba.
Au ndio gundu la Sony, kama alilopata Ali Kiba?
Embu wachambuzi mfanye analysis hapa.
wewe za kwako zina viewers wangapiDavido ni mega superstar, na ni msanii ambaye amesign na Sony internationa ndani ya management mpya.

Nenda kaangalie nyimbo za J COLE wa USA anakuwaga na views ngapi kwa nyimbo zake.....jibu Ni kuwa wala sio nyingi but nenda kwenye mauzo yake uone...utakaaa chini...wanapiga Platinum huko. So views Ni kama kupiga chabo tu nothing more . wapiga chabo wengi wabahili hawanunui so utabaki na views kibao but watu wanakuchunia tu.
wewe za kwako zina viewers wangapiDavido ni mega superstar, na ni msanii ambaye amesign na Sony internationa ndani ya management mpya.
Ndani ya wiki mbili zilizopita ameachia ngoma mbili, gbagbe oshi na ingine. Lakini nimeshangaa sana sina views kidogo ukilinganisha na ukubwa wake, tofauti kabisa na Psquare ambao wimbo wao wa benki alert umepokewa vema.
Je, davido ameshachoka kimziki, au ni Diamond anamloga, au kwakuwa kabadili staili ya kuimba.
Au ndio gundu la Sony, kama alilopata Ali Kiba?
Embu wachambuzi mfanye analysis hapa.
Mkuu isikilize upya,Dimondi ndio aliyeshangaa rozay kuwa na view chache ,Hart alishangaa Domo kuwa na view nyingi.Uku muelewa ni kevin hart n kampuni yke ndo walikuwa wanashangaa ni jinsi gan diamond ana viwers wengi youtube hata kumzidi rozay
Kwa hiyo ww ilikuuma au maana unaonekana kuwa na machungu sana na kauli yakeMkuu isikilize upya,Dimondi ndio aliyeshangaa rozay kuwa na view chache ,Hart alishangaa Domo kuwa na view nyingi.
I don't give a fvck if he has one or billions views, hana effect yeyote kwenye life langu tangia akiwa tandale mpaka sasa akiwa kwenye mjengo wake wa South Africa ya Instagram sijawahi kula hata sumni yake na hata ningekula mia yake sio kigezo cha kusapport ujinga wake.Kwa hiyo ww ilikuuma au maana unaonekana kuwa na machungu sana na kauli yake
maelezo yako inaonesha imekuuma sana pia una wivu wa kike et "mjengo wake wa south africa ya instagram" dont hate be inspired sonI don't give a fvck if he has one or billions views, hana effect yeyote kwenye life langu tangia akiwa tandale mpaka sasa akiwa kwenye mjengo wake wa South Africa ya Instagram sijawahi kula hata sumni yake na hata ningekula mia yake sio kigezo cha kusapport ujinga wake.
chuki huletwa na wivu kwa dalili inaonyesha unamuonea wivu Diamond maweeeeeeeeI don't give a fvck if he has one or billions views, hana effect yeyote kwenye life langu tangia akiwa tandale mpaka sasa akiwa kwenye mjengo wake wa South Africa ya Instagram sijawahi kula hata sumni yake na hata ningekula mia yake sio kigezo cha kusapport ujinga wake.
Povu lote hilo la nnI don't give a fvck if he has one or billions views, hana effect yeyote kwenye life langu tangia akiwa tandale mpaka sasa akiwa kwenye mjengo wake wa South Africa ya Instagram sijawahi kula hata sumni yake na hata ningekula mia yake sio kigezo cha kusapport ujinga wake.
Jamaa anauchungu balaa coz povu linavomtoka over kanywa omo yaanimaelezo yako inaonesha imekuuma sana pia una wivu wa kike et "mjengo wake wa south africa ya instagram" dont hate be inspired son
maelezo yako inaonesha imekuuma sana pia una wivu wa kike et "mjengo wake wa south africa ya instagram" dont hate be inspired son
chuki huletwa na wivu kwa dalili inaonyesha unamuonea wivu Diamond maweeeeeeee
Vijana fanyeni kazi huu upuuzi wa kulipwa buku mbili mbili za MB kutetea ujinga sio vizuri,Einstein alisema "the world will not be destroyed by those who are doing evil but by those who observe and do nothing" Hatuwezi kuacha ujinga ujae kwenye vichwa vyenu,sio kila mtu anayepingana na timu zenu ushuzi ana wivu,sina wivu naye hata kidogo na wala hajawahi kuniinspire kwa kitu chochote coz tupo level tofauti na hustle tofauti so he's naw my role model.Povu lote hilo la nn
Kama ni ujinga kwa nn unaufatilia......ukiona kitu cha kijinga na cha kipuuzi afu na ww ukaendelea kukifatilia basi ujue upo lile group la 1:4
Povu linakutoka balaaaVijana fanyeni kazi huu upuuzi wa kulipwa buku mbili mbili za MB kutetea ujinga sio vizuri,Einstein alisema "the world will not be destroyed by those who are doing evil but by those who observe and do nothing" Hatuwezi kuacha ujinga ujae kwenye vichwa vyenu,sio kila mtu anayepingana na timu zenu ushuzi ana wivu,sina wivu naye hata kidogo na wala hajawahi kuniinspire kwa kitu chochote coz tupo level tofauti na hustle tofauti so he's naw my role model.