MRBIASHARA
Member
- Sep 17, 2022
- 5
- 6
(Dead in shell cases)😔⁉️
▪️Hii ni changamoto kubwa ambayo, wafugaji wanaotumia viangulizi (Incubators) hukumbana nayo siku 21 baada ya kuweka mayai kwenye Incubators.
▪️Wafugaji na watumiaji wengi wa incubators hudhani kwamba, vifo vya vifaranga ndani ya mayai hutokana na maambukizi ya bacteria (salmonella) Ili hali bacteria huchangia vifo hivyo kwa 5% tu.
Je, sababu ni zipi🤔
Usiwe na wasiwasi, chukua pen na daftari📝 twende pamoja🤝
▪️Kawaida, utotoleshaji (incubation) huchukua kipindi cha siku 21 ambapo mayai yanatakiwa yawe kwenye joto (Temperature) & unyevuunyevu (Humidity) sahihi muda wote.
▪️Vifo vya vifaranga mara nyingi hutokea siku chache baada ya kuweka mayai kwenye incubator au siku chache kabla ya kutoa vifaranga kwenye incubator.
▪️Vifo vya mwanzo, sababu huwa ni joto hafifu kuweza kufanya kifaranga kuendelea kukua ndani ya yai. Pia, uhifadhi usio sahihi wa mayai ambao hupelekea kiini cha yai (egg yolk) kuharibika hivyo kupelekea kifaranga kufa mara baada ya kuweka mayai kwenye incubator.
▪️Vifo vya mwishoni mwa kipindi cha utotoleshaji mara nyingi hutokana na ukosefu wa hewa ya kutosha ya oxygen, kwani muda huu vifaranga huitaji hewa ya oxygen ili waweze kukua vizuri.
🤫Nini kifanyike⁉️
▪️kuzingatia kanuni sahihi za uchaguzi & uhifadhi wa mayai ya kutotolesha.
▪️ Kuzingatia afya ya kuku wazazi (Parent flock)
▪️Matumizi sahihi, pamoja na usimamizi sahihi ya Incubator
▪️Kuwa na back up power pindi umeme unapokatika ili utotoleshaji usiathiriwe na kukatika kwa umeme.