Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee hii kitu nimejua ni Mimi tu.Naomba mnisaidie, kwa miezi kadhaa kabisa nikinunua kifurushi cha mwezi cha internet kinaisha hata wiki hainaisha wakati Natuma jioni tu Tena kwa Kiasi kidogo kwani mchana huwa ni atumia WiFi ya ofisini.
Vipi nyie wenzangu?
Aisee hii kitu nimejua ni Mimi tu.
Yaani kifurushi cha airtel iinayeyuka kama maji kwenye barafu na zikibaki mb 150 kushuka chin mtandao unaenda slow sana na ndani ya sekunde chache sms ya bundle kuisha unatumiwa
Tatizo halotel speed ya kobekwa halotel mchekini new katoto (fb) atawakonekti na mwamba anamwaga bando kama hana akili nzuri.
Kwa tigo tumcheki yupi?kwa halotel mchekini new katoto (fb) atawakonekti na mwamba anamwaga bando kama hana akili nzuri.
Nimeenda huko fb sijamata weka kink ya hiyo page.kwa halotel mchekini new katoto (fb) atawakonekti na mwamba anamwaga bando kama hana akili nzuri.
Vifurushi vya Tanzania ni vya kipigaji sana. Ni usanii mtupu,GB 1 inaisha within a secondNaomba mnisaidie, kwa miezi kadhaa kabisa nikinunua kifurushi cha mwezi cha internet kinaisha hata wiki hainaisha wakati Natuma jioni tu Tena kwa Kiasi kidogo kwani mchana huwa ni atumia WiFi ya ofisini.
Vipi nyie wenzangu?
Njoo pm nikuuunganishe na mtu anae unga hayo mamboNimeenda huko fb sijamata weka kink ya hiyo page.