Kwanini vifurushi vya Internet vinaisha haraka

Naomba mnisaidie, kwa miezi kadhaa kabisa nikinunua kifurushi cha mwezi cha internet kinaisha hata wiki hainaisha wakati Natuma jioni tu Tena kwa Kiasi kidogo kwani mchana huwa ni atumia WiFi ya ofisini.

Vipi nyie wenzangu?
Aisee hii kitu nimejua ni Mimi tu.

Yaani kifurushi cha airtel iinayeyuka kama maji kwenye barafu na zikibaki mb 150 kushuka chin mtandao unaenda slow sana na ndani ya sekunde chache sms ya bundle kuisha unatumiwa
 
Naomba mnisaidie, kwa miezi kadhaa kabisa nikinunua kifurushi cha mwezi cha internet kinaisha hata wiki hainaisha wakati Natuma jioni tu Tena kwa Kiasi kidogo kwani mchana huwa ni atumia WiFi ya ofisini.

Vipi nyie wenzangu?
Vifurushi vya Tanzania ni vya kipigaji sana. Ni usanii mtupu,GB 1 inaisha within a second
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…