Rafiki yangu mmoja yeye ana GF(very decent) kwa miaka miwili sasa lakini huniambia mi sina mpango wa kuoa kabisa namwambia sasa si umuoe huyo anadai eti mpaka ajenge mjengo wake na awe mbali kimaisha ndo angalau atafikiria kuoa nimemshindwa kumconvisi jaman ni mgumu sijawah kuona