Kwanini Vijana wengi nchini Tanzania Siku hizi wanaugua sana ‘ Saratani ‘ ya Mapumbu?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Sasa ni rasmi imegundulika ya kwamba kwa Vijana wengi nchini Tanzania wana tatizo la Kuugua Saratani ya Mapumbu / Makende / Makorodani ( Prostrate Cancer ) tofauti na Sisi Kaka zao wa miaka ya nyuma ( akina An Eagle ) ambao Makende yetu bado yapo imara tu wala hawana ‘ Mushkeli ‘ wowote ule japo tunaelekea ‘ Uzeeni ‘ sasa.

Je, tatizo ni nini hasa kwa Vijana wa leo na hili tatizo? Na kwanini wengi wanaougua ni wale waliozaliwa tu kati ya miaka 1986 hadi 2010 huku Sisi wa miaka ya nyuma ya hapo tunasifika mno na Wataalam wa Mapumbu / Makende hayo kuwa tunayatunza vyema ndiyo maana hatuna hizo Saratani?

Chanzo Taarifa: TheCitizenTanzania.com
 
Prostate cancer- Saratani ya tezi demu.
Au ulikuwa unamaanisha Hydrocele?
 
Mlikua mnaumwa ila hamkujua km ni ugonjwa huo

Ni km wanawake na saratani ya kizazi siku hizi
 
Nadhani umechanganya madesa

Prostate cancer ni kansa ya tezi dume(prostate gland) na sio makende kama ulivyosema
 
itakuwa boxer wasizopenda kufua(joke)
 
Nadhani umechanganya madesa

Prostate cancer ni kansa ya tezi dume(prostate gland) na sio makende kama ulivyosema

Sewahaji na Kibasila zote ni Muhimbili hiyo hiyo tu Ndugu.
 
Siwahaji na Kibasila zote ni Muhimbili hiyo hiyo tu Ndugu.
Sawa ila hii kansa ipo zaidi kwa watu wenye miaka 55+..sasa hawa the citizen sijui ni vijana gani waliowafanyia huu utafiti na kugundua kuwa wana hii kansa tena kwa wingi kabisa..

Maana risk ya kwanza ya kupata hii kansa ni umri(55+)
 
Sawa Daktari wetu.
 
Dunia imebdilika saana Mkuu, siku hizi kijana wa 26 anaumwa prostate cancer.
 
Dawa: Piga pu‰bu, wanangu pigeni pu‰bu, narudia tena pigeni mara nyingi muwezavyo na hutasikia cha prostate cancer and the like.

Sasa nyie endeleeni ni mtindo wa kabao kamoja unalala, then unakaa mwezi na nusu unakuja kupiga kamoja tena unalala, tutakuzika mapema.

Unforgetable
 
Bangi unazovuta zinakukubali sana Ndugu. Usiziache!
 
Dawa: Piga pu‰bu, wanangu pigeni pu‰bu, narudia tena pigeni mara nyingi muwezavyo na hutasikia cha prostate cancer and the like.

Sasa nyie endeleeni ni mtindo wa kabao kamoja unalala, then unakaa mwezi na nusu unakuja kupiga kamoja tena unalala, tutakuzika mapema.

Unforgetable
Vip watu wa chaputa
 
Back
Top Bottom