GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
( Prostrate Cancer )
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Popoma
Prostate cancer- Saratani ya tezi demu.Sasa ni rasmi imegundulika ya kwamba kwa Vijana wengi nchini Tanzania wana tatizo la Kuugua Saratani ya Mapumbu / Makende / Makorodani ( Prostrate Cancer ) tofauti na Sisi Kaka zao wa miaka ya nyuma ( akina An Eagle ) ambao Makende yetu bado yapo imara tu wala hawana ‘ Mushkeli ‘ wowote ule japo tunaelekea ‘ Uzeeni ‘ sasa.
Je, tatizo ni nini hasa kwa Vijana wa leo na hili tatizo? Na kwanini wengi wanaougua ni wale waliozaliwa tu kati ya miaka 1986 hadi 2010 huku Sisi wa miaka ya nyuma ya hapo tunasifika mno na Wataalam wa Mapumbu / Makende hayo kuwa tunayatunza vyema ndiyo maana hatuna hizo Saratani?
Chanzo Taarifa: TheCitizenTanzania.com
mkuu hivi kuna dawa ya hydrocele???Prostate cancer- Saratani ya tezi demu.
Au ulikuwa unamaanisha Hydrocele?
Prostate cancer- Saratani ya tezi demu.
Au ulikuwa unamaanisha Hydrocele?
Nadhani umechanganya madesa
Prostate cancer ni kansa ya tezi dume(prostate gland) na sio makende kama ulivyosema
Sawa ila hii kansa ipo zaidi kwa watu wenye miaka 55+..sasa hawa the citizen sijui ni vijana gani waliowafanyia huu utafiti na kugundua kuwa wana hii kansa tena kwa wingi kabisa..Siwahaji na Kibasila zote ni Muhimbili hiyo hiyo tu Ndugu.
Sawa ila hii kansa ipo zaidi kwa watu wenye miaka 55+..sasa hawa the citizen sijui ni vijana gani waliowafanyia huu utafiti na kugundua kuwa wana hii kansa tena kwa wingi kabisa..
Maana risk ya kwanza ya kupata hii kansa ni umri(55+)
Dunia imebdilika saana Mkuu, siku hizi kijana wa 26 anaumwa prostate cancer.Sawa ila hii kansa ipo zaidi kwa watu wenye miaka 55+..sasa hawa the citizen sijui ni vijana gani waliowafanyia huu utafiti na kugundua kuwa wana hii kansa tena kwa wingi kabisa..
Maana risk ya kwanza ya kupata hii kansa ni umri(55+)
Dawa: Piga pu‰bu, wanangu pigeni pu‰bu, narudia tena pigeni mara nyingi muwezavyo na hutasikia cha prostate cancer and the like.
Sasa nyie endeleeni ni mtindo wa kabao kamoja unalala, then unakaa mwezi na nusu unakuja kupiga kamoja tena unalala, tutakuzika mapema.
Unforgetable
Wewe unapewa ushauri, halafu unamtukana mtoa ushauri? Pambafu sana.Bangi unazovuta zinakukubali sana Ndugu. Usiziache!
Huyo jamaa yupo sawa..lazima mtu uwe sexual activeBangi unazovuta zinakukubali sana Ndugu. Usiziache!
Ipo mkuu.mkuu hivi kuna dawa ya hydrocele???
Vip watu wa chaputaDawa: Piga pu‰bu, wanangu pigeni pu‰bu, narudia tena pigeni mara nyingi muwezavyo na hutasikia cha prostate cancer and the like.
Sasa nyie endeleeni ni mtindo wa kabao kamoja unalala, then unakaa mwezi na nusu unakuja kupiga kamoja tena unalala, tutakuzika mapema.
Unforgetable