Kwanini vijana wengi siku hizi hatuendi kanisani kusali

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Vijana ambao tulikuwa nao Sunday school na badae kipaimara baadae tukaacha kabisa kusali mtu kwa mwezi anaenda Mara Moja.
 
Watu wanatamani kumtumikia Mungu Ila hawapati nafasi.sisi wazima tunapitwa na wazazi na Bibi zetu. Shame on us!
 
Kwasababu zamani tulikua tunafata miujiza kanisani ila saizi kwa hali ya uchumi wa sasa miujiza mingi ipo kitaa

Sent using unknown device
 
Uwezo wa akili umeongezekaa watu wamejua wanatapeliwa makanisan
Zaman watu walikuwa wanaenda kusali sababu ya kutishwa sana na ndo mbinu iliyotumika na mzungu kututawala
Now watu wameshitukaakuwa dinn biasharaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vijana ambao tulikuwa nao Sunday school na badae kipaimara baadae tukaacha kabisa kusali mtu kwa mwezi anaenda Mara Moja.
Tunazidi kuwa na uelewa kuwa hivi vitu vililetwa na watu wa nje kututawala kiimani.
Mimi nikijiuliza mababu zetu huko kitambo kabisa waliishi bila makanisa vizuri tu kwa imani zao. Kwa nini sisi yushindwe? Kanisani naenda nikijisikia tu.
 
Sioni faida yoyote ya kwenda kanisan baba amekuwa mpaka leo hajakaja kanisa lakini maisha katusua
 
Kanisa ni matendo mema. Hata ukilala kanisani wakati una matendo meusi. Haina maana yoyote.
 
Baba tukishahama hom kitu cha kwanz kuacha ni kuenda church haka katabia kanatutafuna kamekua kam kasumba[emoji3526][emoji3526][emoji3526]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vijana ambao tulikuwa nao Sunday school na badae kipaimara baadae tukaacha kabisa kusali mtu kwa mwezi anaenda Mara Moja.


1. Watu wanaelewe Biblia vizuri zaidi kuliko ilivyokuwa zamani. Uelewa umeongezeka kiasi kwamba mtu anaweza kukaa pembeni kwanza baada ya kugundua sintofahamu za kiimani.

Hapa mtu anaweza kuacha kwenda kanisani kwa kuanza kupata ukweli au ufahamu tofauti na ule wa Sunday School au kipaimara wa kukaririshwa.

Anaweza kaa pembeni labda mpaka atapopata mahali atapopaamini.


2. Watu wanajipenda wenyewewenye kuliko kawaida

3. Watu kupenda pesa kuliko kingine ( Pesa kwanza) wanaona kusali ni kupoteza mda.

4. Watu wanapenda raha kuliko kumpenda Mungu

wakionekana kama watu wanaomwogopa Mungu lakini wakizikana nguvu zake.
 
Watu wanatamani kumtumikia Mungu Ila hawapati nafasi.sisi wazima tunapitwa na wazazi na Bibi zetu. Shame on us!
Mimi kwa kweli nilivunjika moyo kwa kuwaangalia mapadre ma masista... Nimetumikia sana ..sana yani ...Ila mkisafiri kwenda vigango vy a mbali wanayofanyiana daah kama mume na mke na hawastuki vijana mpo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…