Kwanini vilabu vya Afrika Kusini havifanyi vizuri kimataifa?

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
3,526
Reaction score
1,409
Hawa jamaa wana viwanja bora,pesa nyingi,mashindano mengi ya ndani yenye udhamini wenye pesa nyingi lakini virabu vyao vinaonekana havifanyi vizuri kimataifa...wanaonekana kuwa "wamchangani"
 
nadhani hawachukulii uzito mashindano ya nje ya nchi yao wamebweteka na mashindano yao ya ndani kwakua yana pesa ndefu
 
nadhani hawachukulii uzito mashindano ya nje ya nchi yao wamebweteka na mashindano yao ya ndani kwakua yana pesa ndefu

Club bingwa inApesa ndefu mkuu...muulize bosi wake samata atakwambia
 
Club bingwa inApesa ndefu mkuu...muulize bosi wake samata atakwambia

Lakini prize money katika ABSA premiership ni nzito kuliko prize money ya CAF champions league
Isitoshe, gharama ya usafiri katika champions league ni nzito
 
Lakini prize money katika ABSA premiership ni nzito kuliko prize money ya CAF champions league
Isitoshe, gharama ya usafiri katika champions league ni nzito

Kwa hiyo wanafanya makusudi watolewe ili kikwepa gharama za mashindano?
 
Kwasababu wana akili kama vilabu vya uingereza....

Unapo fanya vizur unakuza brand... brand inapokua kubwa na wawekezaji pamoja na wafanya biashara watawekeza kwako.... kwaio swala la kuepuka gharama ni sababu ya kipuuzi km ndo wanayoiwaza
 
1.Pesa ya zawadi ndogo
2.Fitna za mpira wa kiafrika hawaziwezi namaanisha kucheza mpira nje ya uwanja
 
1.Pesa ya zawadi ndogo
2.Fitna za mpira wa kiafrika hawaziwezi namaanisha kucheza mpira nje ya uwanja

Hata ligi za ulaya pesa za anazopewa bingwa ni ndogo kulingAnisha na gharama za kuendesha timu.....na timu hazilengi ubingwa kwa maana ya kupata pesa bala kama title tuu..timu zinapata pesa kwa njia za matangazo,kuuza jezi,viinglio nk wakati ligi ikiendelea...mashindano yanayoingiza pesa nyingi moja kwa moja ni michuano ya champins leage ,hii kila unaposhinda kuna mzigo unapata...ukitoa droo mzigo,na kila hatua ina mzigo...hata mashindano ya afrika yana mzigo kuanzia hatua ya makundi
 
Kwa sababu wamesahau " AFRICAN TRADITION FOOTBALL" Wakaiga europian scientific football ambao kuna baadhi ya vitu wanapwaya au wanakuwa na uzubauifu fulani fulani au kumpa pasi adui kiurahisi. Rejea ezi za akina TARIBO WEST, SUNDAY OLISEY , OKOCHA, MACK FISH, PATRICK MBOMA, ETO , NDIEF, NK. MPIRA WA KIAFRIKA ULIKUWA NA MVUTO NA ILIKUWA RAHISI ZAIDI KUZIFUNGA TIMU ZA ULAYA KWA KUVURUGA FORMULA ZAO TOFAUTI NA SASA TUNAWAIGA WAKATI HATUWEZI KUWAFIKIA
 
1.Pesa ya zawadi ndogo
2.Fitna za mpira wa kiafrika hawaziwezi namaanisha kucheza mpira nje ya uwanja

hapo namba 2 ndipo wanaposhindwa wengi ikiwemo TANZANIA.
 
ndio maana kuna mashabiki wengi (ukiwemo wewe) wa timu za ulaya kuliko timu za kiafrika, sasa kuna ubaya gani hapo tukijaribu kuwaiga haohao wa ulaya??..
 
ndio maana kuna mashabiki wengi (ukiwemo wewe) wa timu za ulaya kuliko timu za kiafrika, sasa kuna ubaya gani hapo tukijaribu kuwaiga haohao wa ulaya??..

Kwa tz,ligi ya nyumbani inapendwa kuliko ulaya....ukienda kijijini ndani ndani huko ukawauliza habari za buyern munic hawakuelewi...sasa waulize kuhusu yanga na simba sasa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…