Huenda watafiti wa hivyo vimbunga ni wanawake ndio maana vinapewa majina ya kike.Katika hali ya kufikirisha kumekuwa na mtiririko wa vimbunga vingi kupewa majina ya kike, mbali na Hidaya kuna Katarina, Idai, Elida, Genevieve, Emilia, ingawa vipo kadhaa vyenye majina ya kiume na visivyo na jinsi kama jobo, erick, keneth na mengineyo.
Inafikirisha kwa kweli.
Mimi nahisi ni kwasababu wanawake hawatabiriki😔Katika hali ya kufikirisha kumekuwa na mtiririko wa vimbunga vingi kupewa majina ya kike, mbali na Hidaya kuna Katarina, Idai, Elida, Genevieve, Emilia, ingawa vipo kadhaa vyenye majina ya kiume na visivyo na jinsi kama jobo, erick, keneth na mengineyo.
Inafikirisha kwa kweli.
Ndiyo maana tunaambiwa tuishi nao kwa akili......!Tafsiri: Wanawake ni vimbunga.
Makes sense.Kila ukanda wanatumia namna yao ya kutoa majina,ukanda wa huku kwetu wanatoa majina kutokana na jinsia,huko maeneo ya mashariki ya mbali watoa kwa alphabetical order ya nchi zitakazo kumbwa.
Pia kuna bodi zinakaa kuchagua hayo majina sio mtu mmoja tu anakurupuka.
Pia wanatoa majina kama hivyo ili iwe rahisi kueleweka na kuwasiliana,imagine kimbunga kingeitwa Dysuadio ingekuaje.
Mkuu,ukisoma mkasa wa Ayubu,katika Ayubu 1-2;7..utapata jibu la swali lako.Katika hali ya kufikirisha kumekuwa na mtiririko wa vimbunga vingi kupewa majina ya kike, mbali na Hidaya kuna Katarina, Idai, Elida, Genevieve, Emilia, ingawa vipo kadhaa vyenye majina ya kiume na visivyo na jinsi kama jobo, erick, keneth na mengineyo.
Inafikirisha kwa kweli.