Kwanini viongozi karibia wote wa mpira hawamtaki Michael Wambura?

Kwanini viongozi karibia wote wa mpira hawamtaki Michael Wambura?

IKIRIRI

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Posts
2,734
Reaction score
3,023
Huyu bwana kosa lake kuu ni nini?

Maana Tenga, Karia na Malinzi wote walimfurusha huyu bwana shida yake nini hasa?

Naomba ufafanuzi wadau wa mpira wa miguu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makosa aliyoshtakiwa Wambura ni;

1. Kupokea/Kuchukuwa fedha za Shirikisho (TFF) za malipo ambayo hayakuwa halali ikiwa ni kinyume na kifungu cha 73(1) cha kanui za Maadili za TFF Toleo la 2013

2. Kughushi barua ya kueleza alipwe malipo ya Kampuni ya JEKC SYSTEM LIMITED huku akijua malipo hayo sio halali ikiwa ni kinyume na kifungu cha 73(7) cha Kanuni za Maadili za TFF Toleo la 2013

3. Kufanya Vitendo vinavyoshusha hadhi ya Shirikisho ikiwa ni kinyume na Ibara ya 50(1) ya Katiba ya TFF (Kama ilivyorekebishwa 2015).
 
Kama ni wizi wa forgery ni criminal,co swala la michezo...wangempeleka polisi...baadae mahakamani...nafikiri kuna kitu nyuma ya pazia hakiwekwi wazi...Wambura co mjinga kaiba halafu kaenda mahakamani kudai haki!
Hahaha kule ukihoji lazima wakufukuze, Waliojaa kule ni ccm yani ndio bwana, Wambura hataki hizo ndio bwana lazima afukuzwe. TFF inalazimishwa iwe chini ya serikali, ingwa FIFA haitaki hivyo,nami nakubaliana nao. Acha BMT iwe chini ya CCM lakini TFF isiwe hata chini ya serikali, lakini umeona jinsi serikali inavyoiendesha TFF. Juzi juzi uliona Yanga wanalazimishwa kumkataa Manji, wakakomaa, wakasema hayupo nchini akatuma barua atarejea clabuni kuanzia February lakini hawakutaka, TFF wanataka wawe kama msajili wa vyama vya siasa, wao ndio wachague mwenyekiti wa club na viongozi wote, wao wawe na mamlaka kuandaa na kusimamia uchaguzi ndani ya club.
Hao TFF naungana na wazanzibari nomba na natamani FIFA waifungie maisha.
 
Hahaha kule ukihoji lazima wakufukuze, Waliojaa kule ni ccm yani ndio bwana, Wambura hataki hizo ndio bwana lazima afukuzwe. TFF inalazimishwa iwe chini ya serikali, ingwa FIFA haitaki hivyo,name nakubaliana nao. Acha BMT iwe chini ya CCM lakini TFF isiwe hata chini ya serikali, lakini umeona jinsi serikali inavyoiendesha TFF. Juzi juzi uliona Yanga wanalazimishwa kumkataa Manji, wakakomaa, wakasema hayupo nchini akatuma barua atarejea clabuni kuanzia February lakini hawakutaka, TFF wanataka wawe kama msajili wa vyama vya siasa, wao ndio wachague mwenyekiti wa club na viongozi wote, wao wawe na mamlaka kuandaa na kusimamia uchaguzi ndani ya club.
Hao TFF naungana na wazanzibari nomba na natamani FIFA waifungie maisha.
Mkuu...baadhi ya hoja nakubaliana nazo...lkn ukiweka usimba na uyanga tutatofautiana....ukisema kufungiwa na Fifa mazima...tutatofautiana...lkn nimekuelewa serikali inaendesha Tff indirect...ukweli Znz walitakiwa wawe independent kwa kua wana bendera yao na wimbo wao wa taifa,mbali na kuwa na baraza la wawakilishi...this means it is sovereign state hivyo inatakiwa kuwa mwanachama anaejitegemea...
 
Mkuu...baadhi ya hoja nakubaliana nazo...lkn ukiweka usimba na uyanga tutatofautiana....ukisema kufungiwa na Fifa mazima...tutatofautiana...lkn nimekuelewa serikali inaendesha Tff indirect...ukweli Znz walitakiwa wawe independent kwa kua wana bendera yao na wimbo wao wa taifa,mbali na kuwa na baraza la wawakilishi...this means it is sovereign state hivyo inatakiwa kuwa mwanachama anaejitegemea...
TFF inaendeshwa na serikali directly siyo indirect, na hili natamani FIFA walijue ili waambiwe mkitaka mpira fanyeni mpira mkitaka siasa fanyeni siasa, adhabu ya FIFA kwa watu kama hawa ni kufungiwa tu.
 
Ubazazi hivyo vifungu na tuhuma tuna vyombo husika kwa nini havijachukua hatua sitahiki,,,TFF SIO INVESTIGATORS WE HAVE TAKUKURU NA POLICE FORCE/JUDICIARY....
Naona ni ufinyu na woga wa kuwa na kiongozi anayethubutu kusema ukweli
LAKINI KARIA NA TIMU YAKE NYAMLANI NK WATAFIKA MAHALI NA KUREGRET BORA WANGEYAMALIZA ON ROUND TABLE...this time around na kesi iko Court of Appeal bado Arusha mkutanoni unaisemea…
LETS WAIT AND SEEE
 
Ushauri wangu kwako kaka...co vizuri kufanya vitu kwa mihemko au kukomoana...kama ni mwizi, kuna vyombo husika kwann wasiripoti? Tunakuwa na hisia ni uzushi
Vyombo vya ulinzi vimefanya kazi yake
 
Karia kakaria kuti kavu its funny such a person hawezi kuona alama za nyakati wenzake KINA MALINZI,MWESIGWA nk hawajalalia vitanda vyao muda gani
TRUST ME HIS DAYS ARE NUMBERED PALE....
 
Back
Top Bottom