Wakati waa uongozi wakeHaya ni makosa ambayo aliyafanya kipindi gani kwa tenga au nani?/
Sent using Jamii Forums mobile app
Nalala watakuja kukujibu asubuhi
Itakuwa uko mkoani unalala mda huu?Nalala watakuja kukujibu asubuhi
Huu mda wa kuoga saa10:30 unafight daladalaNalala watakuja kukujibu asubuhi
Hahaha kule ukihoji lazima wakufukuze, Waliojaa kule ni ccm yani ndio bwana, Wambura hataki hizo ndio bwana lazima afukuzwe. TFF inalazimishwa iwe chini ya serikali, ingwa FIFA haitaki hivyo,nami nakubaliana nao. Acha BMT iwe chini ya CCM lakini TFF isiwe hata chini ya serikali, lakini umeona jinsi serikali inavyoiendesha TFF. Juzi juzi uliona Yanga wanalazimishwa kumkataa Manji, wakakomaa, wakasema hayupo nchini akatuma barua atarejea clabuni kuanzia February lakini hawakutaka, TFF wanataka wawe kama msajili wa vyama vya siasa, wao ndio wachague mwenyekiti wa club na viongozi wote, wao wawe na mamlaka kuandaa na kusimamia uchaguzi ndani ya club.Kama ni wizi wa forgery ni criminal,co swala la michezo...wangempeleka polisi...baadae mahakamani...nafikiri kuna kitu nyuma ya pazia hakiwekwi wazi...Wambura co mjinga kaiba halafu kaenda mahakamani kudai haki!
Mkuu...baadhi ya hoja nakubaliana nazo...lkn ukiweka usimba na uyanga tutatofautiana....ukisema kufungiwa na Fifa mazima...tutatofautiana...lkn nimekuelewa serikali inaendesha Tff indirect...ukweli Znz walitakiwa wawe independent kwa kua wana bendera yao na wimbo wao wa taifa,mbali na kuwa na baraza la wawakilishi...this means it is sovereign state hivyo inatakiwa kuwa mwanachama anaejitegemea...Hahaha kule ukihoji lazima wakufukuze, Waliojaa kule ni ccm yani ndio bwana, Wambura hataki hizo ndio bwana lazima afukuzwe. TFF inalazimishwa iwe chini ya serikali, ingwa FIFA haitaki hivyo,name nakubaliana nao. Acha BMT iwe chini ya CCM lakini TFF isiwe hata chini ya serikali, lakini umeona jinsi serikali inavyoiendesha TFF. Juzi juzi uliona Yanga wanalazimishwa kumkataa Manji, wakakomaa, wakasema hayupo nchini akatuma barua atarejea clabuni kuanzia February lakini hawakutaka, TFF wanataka wawe kama msajili wa vyama vya siasa, wao ndio wachague mwenyekiti wa club na viongozi wote, wao wawe na mamlaka kuandaa na kusimamia uchaguzi ndani ya club.
Hao TFF naungana na wazanzibari nomba na natamani FIFA waifungie maisha.
TFF inaendeshwa na serikali directly siyo indirect, na hili natamani FIFA walijue ili waambiwe mkitaka mpira fanyeni mpira mkitaka siasa fanyeni siasa, adhabu ya FIFA kwa watu kama hawa ni kufungiwa tu.Mkuu...baadhi ya hoja nakubaliana nazo...lkn ukiweka usimba na uyanga tutatofautiana....ukisema kufungiwa na Fifa mazima...tutatofautiana...lkn nimekuelewa serikali inaendesha Tff indirect...ukweli Znz walitakiwa wawe independent kwa kua wana bendera yao na wimbo wao wa taifa,mbali na kuwa na baraza la wawakilishi...this means it is sovereign state hivyo inatakiwa kuwa mwanachama anaejitegemea...
Mwizi wa kutupwaHuyu bwana kosa lake kuu ni nini?
1.Tenga 2.Karia 3.Malinzi wote walimfurusha huyu bwana shida yake nn hasa?
Naomba ufafanuzi wadau wa mpira wa miguu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri wangu kwako kaka...co vizuri kufanya vitu kwa mihemko au kukomoana...kama ni mwizi, kuna vyombo husika kwann wasiripoti? Tunakuwa na hisia ni uzushiMwizi wa kutupwa
Vyombo vya ulinzi vimefanya kazi yakeUshauri wangu kwako kaka...co vizuri kufanya vitu kwa mihemko au kukomoana...kama ni mwizi, kuna vyombo husika kwann wasiripoti? Tunakuwa na hisia ni uzushi
Nasema mtoe Malinzi hapo ,maana yeye ndo aliyemrudisha Wambura kwenye sokaHuyu bwana kosa lake kuu ni nini?
1.Tenga 2.Karia 3.Malinzi wote walimfurusha huyu bwana shida yake nn hasa?
Naomba ufafanuzi wadau wa mpira wa miguu
Sent using Jamii Forums mobile app