..mbona mawaziri ni wabunge?
Mawaziri ni wa CCM sio CHADEMA
Mawaziri ni wa CCM sio CHADEMA
Ni takwa la kikatiba ya nchi.viking, Mbona mawaziri ni wabunge?
Hoja kuu ni majukumu!Mawaziri ni wa CCM sio CHADEMA
Kwanini mawaziri ni wabunge?Usilete utetezi wa katiba maana ni wa kijinga sana!Huu utetezi wa katiba yao inaruhusu ni wa kijinga sana, hivi Katiba ni Quran au Biblia, wengine watapata vipi nafasi kama nafasi zote zinashikiliwa na watu hao hao?
So mleta mada hana hoja maana katiba ya chama inampa fursa mtu yeyote kugombea!Ni takwa la kikatiba ya nchi.