Kwanini viongozi wa Kanda CHADEMA wengi ni wabunge?

Kwani wewe unaishi wapi? Hujui siasa na mikusanyiko yoyote ya wapinzani ilizuiawa?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm hata sijui maana hata sikumbuki kama Kuna Chama kina uongozi wa Kanda kama kipo naomba utuambie Hao wengine wanaupataje uongozi wao wa Kanda?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
To safe guard the status quo.
 
Huu utetezi wa katiba yao inaruhusu ni wa kijinga sana, hivi Katiba ni Quran au Biblia, wengine watapata vipi nafasi kama nafasi zote zinashikiliwa na watu hao hao?
Kwani kuna MTU alizuiwa kugombea? Demokrasia ilifanya kazi yake
 
Wabunge wakizuiwa kugombea mnakuja na viroja vya kuwabagua,katiba ya Chadema inatoa Uhuru kwa kila mwanachama kugombea na kuchaguliwa.Wapiga kura ndio waamuzi na ndio demokrasia ilivyo.
 
Unafiki haujawahi kuwaacha CCM salama, yaani rais wa nchi KUMTWISHA UENYEKITI WA CHAMA TAIFA NI SAWA, wabunge wa CCM kuwa mawaziri ni sawa tena wanazunguka kama tiara hata majimboni hawakai hilo ni sawa, kalagabaho.
 
Unafiki haujawahi kuwaacha CCM salama, yaani rais wa nchi KUMTWISHA UENYEKITI WA CHAMA TAIFA NI SAWA, wabunge wa CCM kuwa mawaziri ni sawa tena wanazunguka kama tiara hata majimboni hawakai hilo ni sawa, kalagabaho.
Tunaongelea ndani ya Chama Sio Serikali.Bunge mshoke wabunge na cjadema mshike wabunge Chama kanatakiwa kisimanie wabunge wake nyi CHADEMA wabunge Ni kotekote bunge na chama
 
Hapana mkuu unaposema wengi unamaanisha majority yaani zaidi ya 50% ya kanda zilizopo.
Kwa kumbukumbu tu kanda ambazo hazipo chini ya mbung ni Pwani,Kusini,Magharibi,Victoria,Kati,Pemba,Unguja

Zenye wabunge ni Serengeti,kaskazini na Nyasa.

Kwahyo wenyeviti wa kanda ambao ni wabunge ni 30% tu so uzi wako haupo sahihi.

Cc JokaKuu Barbarosa
 
Kipindi unashusha uharo wako unasahau
Kuwa kua wabunge wa afrika mashariki
Wajumbe wa wakilishi na wabunge wa afrika umoja wa wafrika wewe ni ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Kabla ya kuanzisha hoja fanya utafiti kwanza. Kwa mfano unaposema wengi wa wenyeviti wa kanda ni wabunge inabidi kwanza ujiulize kuna kanda ngapi? Kuna kanda 10, ni kanda ngapi zinaongozwa na wabunge, ni kanda 4, sasa lugha ya wengi inatoka wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ