Muru sambemo mawa
Member
- Apr 19, 2023
- 45
- 90
Kwani wewe hujui kwamba timu toka nje ya mipaka ya Tanzania zinapokuja kushindana kwa mkapa mashibiki wa yanga ama simba hushabikia timu pinzani? Je ulishawahi kutathimini madhara yake?
Nusu fainali?Wakuu Habari,
Tangu timu hizi mbili za Kariakoo kuvuka hatua ya nusu fainali, mengi sana yamejitokeza kwa baadhi ya mashabiki hadi viongozi wa serikali. Tunafahamu kweli faida ya kupeleka timu mbili robo fainali na wengi pia tunatamani ikiwezekana mmoja achukue kombe hili ambalo halijawahi kuletwa hapa nchini kwetu.
Jambo moja linalonifikirisha ni hili la baadhi ya viongozi wa Yanga kukomaa kutaka utani wa jadi uwekwe pembeni na timu zishirikiane. Hii hofu kwa viongozi hawa imetoka wapi?
Je kuna jambo labda watu wa Simba wanalifahamu kwahiyo wanaogopa litapelekwa kwa upinzani?
Kama ya Yanga yani, hao ni maoacha kabisaa hata uchezaji, Nyokkoo wwAlafu jezi ya Mamelod tamu kweli aisee
Watu wa Simba wangefahamu kitu wangekubali kupigwa goli 5?Wakuu Habari,
Tangu timu hizi mbili za Kariakoo kuvuka hatua ya nusu fainali, mengi sana yamejitokeza kwa baadhi ya mashabiki hadi viongozi wa serikali. Tunafahamu kweli faida ya kupeleka timu mbili robo fainali na wengi pia tunatamani ikiwezekana mmoja achukue kombe hili ambalo halijawahi kuletwa hapa nchini kwetu.
Jambo moja linalonifikirisha ni hili la baadhi ya viongozi wa Yanga kukomaa kutaka utani wa jadi uwekwe pembeni na timu zishirikiane. Hii hofu kwa viongozi hawa imetoka wapi?
Je, kuna jambo labda watu wa Simba wanalifahamu kwahiyo wanaogopa litapelekwa kwa upinzani?
Hata ya Yanga tamuAlafu jezi ya Mamelod tamu kweli aisee
Bado hujasema,hiyo siku mnaoitaje sasa,au kichapo day mje na fimbo kabisaHata ya Yanga tamu
Sawa dada yangu,Kama ya Yanga yani, hao ni maoacha kabisaa hata uchezaji, Nyokkoo ww
Kamsikilize arafat vizuri alafu urudi hapaWanaokomalia ni Simba kupitia Karia akamuomba Mama kuwa atoe tamko hawa watu wasifanyiane hujuma kimataifa na akamwambia kabisa kuwa Yanga ndio hatari sana kwenye hii michezo ya "asili" maana unawaona kabisa wanaingia uwanjani lakini huwaoni wakifanya hadharani na kizamani hiyo michezo kama Simba lakini ndio hatari sana. Karia kamjaza Mama kuwa timu zikifika mbali ni advantages kwake kisiasa kuelekea 2025.
Arafat unamjua?Anaelialia na kutoa vitisho na matamko ya kutohujumu pande nyingine ni Waziri wa Michezo Ndumbaro ambae ni Kolo lialia
Ndio hapo Sasa nashangaa mpaka wazir anatutisha tusivae jezi za MAMELOD SUNDOWN πππππWakuu Habari,