Kwanini viongozi wanaopinga kukosolewa wengi wao hawakupigania uhuru na walizaliwa baada ya uhuru wa Tanganyika?

Wakusoma 12

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
4,035
Reaction score
11,462
Hii nimeona kuanzia kwa Magufuli mpaka kwa Samia. Hawa viongozi hawana nasaba zozote za kupigania uhuru ama kuwa kwenye line ya wapigania uhuru kwenye taifa hili. Viongozi Hawa hawakuwahi kupiga stori na Nyerere za namna yoyote ile na uhakika upo.

Hawa ndiyo vinara wa kuminya uhuru wa kujieleza na taifa litawakumbuka kwa kuunda vikundi vya kuteka wakosoaji ama kuwakamata na kuwatesa.

Swali ni kwanini Hawa viongozi wa kipindi hiki ambao hawajui uchungu na madhira waliyopitia wapigania uhuru wanajiona wao ndiyo wanahaki ya kusema chochote na wengine wakubali tu bila kupinga?
 
One down one to go, hawa viongozi maslahi they're better off dead.
 
Back
Top Bottom