Kwanini Viongozi wengi wa Afrika wana IQ haba?

kichwat

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2010
Posts
1,819
Reaction score
588
Ukifuatilia hotuba huru (free style), mahojiano, na michango ya viongozi wetu wengi kwenye mikutano na makongamano ya kimataifa utangundua watu wetu mara nyingi huwa exposed na kuonekana kabisa kwamba wana uwezo mdogo wa kufikiri, hawana vision, wana uwezo mdogo wa kiakili. Mara nyingi wadau wetu wa maendeleoa hushangaa inakuwaje watu hawa wanapanda ngazi na kupata vyeo kama vya Directors, Ministers, etc. huku kichwani HAMNA KITU. Tuna tatizo gani waafrika? Inakuwaje mtu asiyejua kusoma anapanda hadi kuwa Waziri, au mkuu wa Taasisi?
 
ofkozi, tatizo moja kubwa ni mfumo wetu wa elimu, ambao hauchambui na kutambua na kukuza vipaji (nurturing). lakini hii ingewawezesha vilaza kuingia sehemu fulani, lakini sio KUPANDA NGAZI.
 
Rushwa imetawara africa, na ndio ina waweka viongozi madarakani pasipo kuangalia uwezo wake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…