kabiriga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 1,109
- 1,171
Ni mara nyingi utasikia au kuona TFDA ikikamata vipodozi vyenye sumu na kisha kuviteketeza kwa madai ya kuwalinda watumiaji.
Kwa upande mwingine wauzaji na watumiaji aghalabu ulalamika kuwa hawatendewi haki ktk hili,kwa maana hawaoni athari za vipodozi hivyo.
Je kwanini vipodozi vyote visipigwe marukufu hapa nchini? Maisha yataenda tu bila vipodozi na kuna vitu hatuna na hatujuti kutokuwa navyo maana kuwepo kuna athari kuliko kutokuwepo kabisa,mfano kuna watu tunashindwa kuelewa rangi ya mwili wao ni hipi hasa,maana mhhh