Kwanini Voda wanatoa Kamisheni ndogo kwa Mawakala?

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Habari zenu,

Nina ofisi zangu za Uwakala wa mitandao ya simu na nimekuwa nashangazwa na Kamisheni ndogo zinazotolewa na Vodacom.

Mitandao mengine ipo vizuri kiasi chake lakini Vodacom wamekuwa wanabana sana Commission kwenye miamala ya kuweka na kutoa.

Hii hali imeenda mbali zaidi kwani hata ukiuza Vocha za kurusha nako wanapunja Commission.

TATIZO NI NINI?
 
Kiasi gani hutolewa? Kuwa muwazi!
 
Kuna miamala unayofanya lakini haina kamisheni ,

Mfano kuweka au kutoa pesa mtu akiwa mbali.

Unaletewa namba na mteja kwenye kikaratasi unaweka hela , hapo hakuna kamisheni
 
USIWATETEE!

Miamala nayozungumzia mimi ni ya kutoa na kuweka mteja wa hapohapo.

HAKUNA MTANDAO UNAONYONYA MAWAKALA KAMA VODACOM TZ.

Yani hata kuuza vocha za kurusha wanatoa faida 4% kweli?
 
Back
Top Bottom