Wasikupe kabisaaa mpaka siku utakapo acha ujinga wakoBora wewe wanakupa laki mimi hata elfu tano hawataki kunikopesha
Huu ushauri mzuri... Adownload app ya branch japo anaweza anza na 10000 ila wao wanakuongezea mkopo tofauti na hao mpawa!!Keynez ukitaka mikopo ya namna hiyo jaribu kukopa Branch, au Tala wako vzuri ukilipa kwa wakati wanakopesha mpaka milioni, halafu hiyo avatar yako ya bulls nimewahi kuiona mahala Fulani .....hope wewe ni forex trader
ukikopeshwa laki unalipa lakin na ishirini then unakopeshwa laki na 30Keynez ukitaka mikopo ya namna hiyo jaribu kukopa Branch, au Tala wako vzuri ukilipa kwa wakati wanakopesha mpaka milioni, halafu hiyo avatar yako ya bulls nimewahi kuiona mahala Fulani .....hope wewe ni forex trader
Yaani usinitajie kabisa huu mtandao na mniwe radhi vodacom sina jina jingine la Kuwaita zaidi ya hili "WEZI"nipo tayari najiandaa kuwa balozi wa kampeni itwayo KATAA VODACOM.Ni mteja wa miaka zaidi ya mitatu wa Vodacom na nimetumia hela yangu nyingi sana kwenye huduma zao hadi nimekuwa mteja wa thamani. Nimekuwa nakopa na kulipa kwa wakati (isipokuwa mara moja tu nilichelewa kurudisha mkopo kwa siku moja) lakini kwa muda mrefu limit imegota pale pale kwenye 144,500/=
Niliwahi kupiga simu customer service nikaambiwa niwe nafanya transactions mara kwa mara, ikiwezekana kila siku, kati ya M-PESA na M-PAWA, nimefanya hivyo lakini wapi.
Kuna uwezekano kuna mtu ndani anatumia account yangu kuzungusha hela? Kama sivyo, tatizo ni nini?
Yaani usinitajie kabisa huu mtandao na mniwe radhi vodacom sina jina jingine la Kuwaita zaidi ya hili "WEZI"nipo tayari najiandaa kuwa balozi wa kampeni itwayo KATAA VODACOM.
Mama kapewa vifurushi vizuri zaidi maana sio mtumiaji wa mara kwa mara.Siwaelewi kabisa vodacom. Mwaka jana mwishoni nilimfungulia mama line ya Vodacom, ila amekuwa si mtumiaji sana wa line hiyo, bado anaogopa smart phone! Juzi nimecheki vifurushi vyake vya ‘Ya Kwako Tu’, inaonyesha ana vifurushi vizuri zaidi yangu wakati mimi natumia line yangu kila siku na nimespend mahela kibao kwenye huduma zao.
Ungedhani kifurushi kama kile kingekuwa kuwazawadia wateja wao wa muda mrefu na wanaotumia sana huduma zao, lakini kumbe wateja wapya na wasiotumia sana ndiyo wanazawadiwa zaidi.
Mama kapewa vifurushi vizuri zaidi maana sio mtumiaji wa mara kwa mara.
Lengo ni kumvuta mteja na baada ya hapo vinakatishwa.