Ukisikiliza matangazo mengi ya Clouds fm wanashirikiana na VOdacom kutangaza mabomu ya gongo la mboto
Naona makucha yaliyokuwa yamejificha ndo yanatoka sasa mchawi wenu mfaziri wa hawa wahuni ndo huyo kaamua kutoa makucha yake.
Kumbe nimejua kwanini clouds imeanzishwa under RA:embarrassed:
Lengo hapa ni kusaidia jamii,hakuna lolote.Vodacom wanakitengo cha kuhudumia jamii na kimekuwa mstari wa mbele kusaidia jamii,limetokea jambo kubwa kunaubaya gani kushirikia na radio ambayo imeonesha kuwa karibu na jamii.Binafsi nachukia sana kuhusisha mambo muhimu na siasa au chuki binafsi,kwahiyo mtoa hoja unatak ndugu zetu wafe na njaa?