Mhh, we mfanyakazi wa tigoAise me naona huyu MD mpya WA VODA ni mbovu sana. Tangu aingie yeye ndo vifurushi tunaibiwa balaa, mimi personally nimeibiwa vifurushi nimelalamika wee hamna msaaada. Uozo starts from the top, mbona mwaka jana haikua hivi? Au ni mimi mwenyewe? Siku ya leo zimeenda 10GB ndani ya lisaaa sijui zimeishaje...nimeenda mpaka vodashop yani hamna msaada, yani siku nikikaa vizuri hii kesi naipeleka mahakamani nina hamu za million 60 za kumfungulia mamaa duka la nguo maana imekuwa kero sana..
Mimi ni mteja wa Voda miaka 15 sasa bintiMhh, we mfanyakazi wa tigo
Tigo and halotel they have worst internet I have ever seen..speed mbovu kabisa..Ifanye laini ya voda kama bank.
Ifanye laini ya Tigo/halotel kama suluhu ya kuingia internet