Huu utaratibu ni mbaya na una dosari nyingi sana. Kama kila mwananchi mwenye umri wa miaka 18 na kuendelea ana kadi yake ya kupigia kura sasa kwa nini katika uchaguzi huu ingependeza kila mwananchi atumie kadi yake ya kupigia kura katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Kwa uchaguzi huu Vyama vya upinzani mmeingizwa chaka ambapo maeneo mengi kuna kila lalamiko. Watoto wanaandikishwa, marehemu wanaandikishwwa kule Tarime kuna jamaa kalalamika kuwa mke wake waliyeachana naye miaka minne iliyopita na hawako naye ameandikishwa kwenye daftari.
Inatisha na sijaona utaratibu kama huu ni Tanzania pekee.