1120ulimwengu
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 252
- 422
Tanzania inawafanyakazi, wakulima na wafanyabiashara wengi tu. Kwenye kila nyanja kuna wanaofanya vzuri ambao hupaswa kuigwa,kuinuliwa na hata kutazamwa kwa jicho zuri!
Kwakuwa Tanzania ni nchi huru na ambayo inajinasibu kutumia rasilimali kwa manufaa ya wote bila upendeleo na kwamba keki ya Taifa itagawanywa sawa basi kuna ulazima wa kuondoa favouritism, nepotism nk
Najiuliza mtu ambaye amefanya kazi Serikalini kwa mfano katika nafasi ya mkuu wa mkoa akapata mafao mamilioni ya pesa na baada ya kuachia ngazi akaweza kuwekeza kwenye kilimo tena cha large scale kuna sababu gani ya pekee na kubwa ya kumuonea huruma kana kwamba ili aishi vzuri arudishwe kwenye vyeo?
Kwanini vyeo utitiri vilivyopo wanapewa watu ambao tayari wameshapata mafao ya kutosha yanayowawezesha kufanya uwekezaji mwingine la hasha wanaweza kuishi bila hata kufanya kazi?Je, isingekuwa vizuri promosheni hizo wangepewa watu wanaofanya vzuri kwenye sekta za afya, elimu, kilimo nk mbona wapo wafanyakaz tunawaona wanajituma sana lakin days go by no PROMOTION?
Ok, well labda factor ni uzoefu. Najiuliza uzoefu kazi hizo hazina hadidu rejea/hazina maelekezo ya kaxi kiasi kwamba mtu hawez kujua wajibu wake? Inashangaza na inauma sana kuwa lazima nafasi flan flan ziwe za watu walewale wakati wote. Hata kama ni nafasi za upendeleo kwa ajili ya wanaccm mbona wapo wanaccm wengine wengi mbona wasipewe hao wanapewa walewale ambao tayar wameshakata slice ya mkate wao?
Kama kuna dude linalofanya vetting ya viongozi, dude hili ndio adui mkubwa wa maendeleo ya Mtz, it should be cut off! Madude haya yanayotoa ushauri kwa mamlaka za uteuzi ni janga.