Kwanini vyeti vya sensa 2022 vimetolewa kwa makarani wa sensa pekee?

Kwanini vyeti vya sensa 2022 vimetolewa kwa makarani wa sensa pekee?

Trainee

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
2,660
Reaction score
3,501
Sensa ya 2022 imeendeshwa na watu mbalimbali. Kwa ngazi za chini kulikuwa na makarani, watu wa maudhui na watu wa TEHAMA. Kumetolewa vyeti vya pongezi lakini ajabu ni kwamba vyeti hivyo ni kwa makarani wa sensa pekee

Ni kwa nini serikali imefanya hivyo?
 
Ni jambo la kutafakari sana kuona Aston Villa ikicheza robo fainali za UEFA wakati Man United haijawahi kushiriki hata kwenye hatua ya mtoano tangu kuondoka kwa Sir Alex Ferguson
 
Mbona sijapata na nilifanya kazi kubwa sana
Nahisi kuna baadhi ya halmashauri hawajatoa kabisa maana hata hizo halmashauri walizotoa vyeti nimeona wametoa kwa kupishana sana. Kuna waliotoa vyeti tangu mwaka 2023 na wengine mwaka jana ndio wametoa vyeti!
 
Back
Top Bottom