realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 3,925
- 8,853
Kuna mambo mengi sana ambayo Taifa inafanya na inaendelea kufanya ikiwamo uchaguzi ujao.
Lakini sasa ukisikiliza au kutazama vyombo vingi vya habari vingi vinachochea ugomvi na kufanya vitu vya qjabu.
Cha ajabu ni kwamba hata watoto,Vijana wote wako huko tu kusikiliza na kufuatilia vitu visivyofaa ndani ya Jamii.
Vijana wengi sasa hivi hawana ajira vyombo vya habari viwaonyeshe fursa na kuwapa njia za mafanikio.
Lakini kama hivi vyombo vya habari vinasimamiwa mbona vinakiuka maadili.
Waziri Mpya naomba uanzie huku kwanza.
Hivi kweli watu waliosomea taaluma ya kazi hiyo wako nyumbani halafu watu wanaoendesha vyombo vingi wamekurupuka tu hadi wanatumia Lugha zisizofaa.
Vyombo vya habari visimamiwe vizuri.