Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Kuna kelele mingi huko Congo zikilalamika Idara ya Uhamiaji Tanzania kukamata na kuzuia wanajeshi wa M23 na viongozi wao akiwemo Eric Nkuba na kuwarejesha kwenye nchi yao.
Vyombo vya habari vya Congo na Ufaransa vinalalamika kukamatwa kwa viongozi wao vikisema ni kinyume cha haki za binadamu. Nataka kuwauliza hayo mauaji yanayotokea COngo kwa miaka yapo kwa mujibu wa haki za binadamu? Je wanataka hao watu waje wakajifiche Tanzania kwa ajili ya kuja kutuchambulia hali yetu ya usalama?
Mimi nasema Uhamiaji msiruhusu hawa watu wakimbilie Tanzania wafungieni milango wabaki huko wapigwe na wanajeshi wetu kwa ajili ya kukomboa wananchi wasio na hatia.
Haiwezekani Wanajeshi wetu Congo wanarisk maisha yao kupambana na magaidi then magaidi wakimbie kuja kujificha Tanzania . Kuwapokea wanajeshi wanaotaka kujificha Tanzania ni kuwasaliti wanajeshi wetu waliopo Congo wakitafuta amani.
Jeshi la Uhamiaji lindeni mipaka hawa watu wasivuke kuja Tanzania. Wananchi wafichueni hawa wanajeshi wanaokuja kujificha huku kuunga mkono kazi nzuri inayofanywa na jeshi letu. Tanzania imekuwa mkombozi wa bara la Afrika na sasa bado tunaendelea.
Tusipokuwa serious kuwapiga hawa watu watakuja kufanya yale yaliyofanywa Kibiti.
NImeona wanaoleta propaganda wanataka kumchafua Mhe.Rais, lakini kwa hili hakuna kurudi nyuma tusimamie amani ya wenzetu. Congo ikiwa na amani hata sisi wafanyabiashara tunaopeleka mzigo huko kutoka bandari ya DAR es salaam tutafanya biashara na madereva wetu watakuwa salama.
KOngole vyombo vya dola kwa kusimamia mapambano dhidi ya waasi wanaosumbua wanajeshi wetu DRC Congo.