Kwanini wabongo ni wanafiki!!?

magode

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2014
Posts
2,204
Reaction score
3,336
Wanajamvi
Salaam;

Sijawahi kupost ktk hili jukwaa,lkn nimelazimika kufanya hivi leo kutokana na huu unafiki unaoendelea kuonyeshwa na watanzania.

Kilichonichukiza ni hiki kitendo cha kumsifia madame wema siku ya tuzo za wasanii zilizotolewa na Azam media.

Hivi kweli huu muonekano wa wema wa siku ile(km anavyoonekana pichani) unaweza kumsifia kuwa alipendeza!?? Km siyo unafiki ni nini!?? Yaani mtu alikuwa km shetani!!! We angalia tu hata kucha,hv ni binadamu gani anakuwa vile!??

Hivi mfano ndo unakutana nae porini,hata km umepitia mafunzo ya jeshi,lazima utimue mbio bila kugeuka...!!

Sina ugomvi nae,lkn sipendi unafiki. Ajitahidi kuvaa km binadamu. Asivae km kiumbe wa sayari nyingine.

Povu ruksa!!!!
 
Air hostess wa bombardier za mhutu
 
hilo liwigi milioni,make-up na nyusi 8k na hiyo mikucha 5k...

Diamond kadata hapo,hasikii LA mwazini na kamwacha zari kisa wema...

'hapo utaona ni chongo mwenzio anaamini ni kengeza'
 
Sometimes maisha bila UNAFKI ayaendi mkuu
 
Sometimes maisha bila UNAFKI ayaendi mkuu
Ni kweli mkuu,lkn hii imezidi kwa sababu kwa uhalisia huyo mtu alibadilika kutoka kuwa binadamu,na kuwa kiumbe kingine...!!!
 
Nanyanyua Mikono yangu juu na kuanza kusema...

Mmiliki wa Ardhi na Mbingu MUNGU ulio Mwema...

Nakushukuru sana kwa Baraka nyingi zako njema...

Maisha ya kujitafutia niliyaanza ikiwa bado Mapema...

Nikikumbuka tangu nilipokuwa mdogo ni kama CINEMA...

Nikikumbuka vipingamizi nilivyovivuka hapa siwezi kusema...

Kama Wema hauozi kwanini sasa niogope kufanya WEMA...

Kama Mwingi wa REHMA anatuamrisha tufanye yaliyo MEMA...

Kwanini WAJA tusikatazane Mabaya na kukumbushana MEMA...

Mie HARUFU nilikuwa si kitu...

Leo HARUFU ni Mtu mbele ya Watu...

Si kwa UMAARUFU bali kwa wangu UTU...

Nimejisikia tu, kutoa maneno yangu KUNTU...

Nakushukuru sana wangu Muumba MUNGU...
 
Kila mtu ana uono wake, ww ukiona hajapendeza wengine wana mtizamo tofauti na wako, mfano mm demu yyte akiwa na chura hata akivaa kaniki machoni kwangu kapendeza sana
 
Ukiwa hivyo na mtu akikwambia umependeza ujue huyo akutakii mema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…