Utaratibu ni kwamba ukiwa mbunge na umepiga kura kuunga mkono muswada wowote unatakiwa kuwa wa kwanza kuutetea. Lakini kama umepiga kura kupinga unatakiwa kutoa sababu za msingi za kupinga
Sasa wabunge wemepiga kura kuunga mkono muswada wa tozo na mengine mingi lakini hawaonekani sehemu yeyote kuongelea. Sasa hii ni kutokujua kazi zao. Kuuza muswada sio kazi ya serikali pekee