Mkuu, Stein hawa jamaa walichakachua kwa hali ya juu, ukiangalia hiyo attachment ya matokea utagundua kuwa walishinda wabunge wa chadema, kwani haiingii akilini watu wachague raisi halafu mbunge waache. Waliiba kura japo hawataki kuambiwa kweli, Mungu atawahukumu, lakini sisi watanzania tutawahukuma kabla ya hukumu ya Mwenye enzi MunguKwanini wabunge wa CDM hawakushinda katika maeneo haya? maana nashindwa kuelewa ni kwa nini raisi wetu apate kura nyingi namna hii the tusipate mbunge hata mmoja ina maana walichakachua kihivyo hawa jamaa wabaya mno.
Au ndio kusema mjomba watu wamemchoka sana.
Napata hisia Dr. Slaa ni watu wengi sana walimpigia kura ila Miraji na kikundi chake cha IT wametuchakachulia.
Kwanini wabunge wa CDM hawakushinda katika maeneo haya? maana nashindwa kuelewa ni kwa nini raisi wetu apate kura nyingi namna hii the tusipate mbunge hata mmoja ina maana walichakachua kihivyo hawa jamaa wabaya mno.
Au ndio kusema mjomba watu wamemchoka sana.
Napata hisia Dr. Slaa ni watu wengi sana walimpigia kura ila Miraji na kikundi chake cha IT wametuchakachulia.
Mkuu, Stein hawa jamaa walichakachua kwa hali ya juu, ukiangalia hiyo attachment ya matokea utagundua kuwa walishinda wabunge wa chadema, kwani haiingii akilini watu wachague raisi halafu mbunge waache. Waliiba kura japo hawataki kuambiwa kweli, Mungu atawahukumu, lakini sisi watanzania tutawahukuma kabla ya hukumu ya Mwenye enzi Mungu