mkwapuaji
Member
- Jan 6, 2012
- 49
- 20
Mfumo wa kupata mwakilishi wa kibunge Tanzania ni mfumo huru lakini wenye kumnyima mwananchi fursa halisi ya uwakilishi. Hii inajidhihirisha na wingi wa wabunge ambao hugombea ubunge pasi hata a kuifahamu historia ya jimbo lao la uwakilishi
Leo nimeona ipo haja ya kubadili mfumo wa kuwapata wabunge. Mbunge wa kuchaguliwa Tanzania anapaswa kuwa diwani na pia sifa ya kibunge iwe ni ama mwenyekiti wa halmadhauri au atokane na uchaguzi ndani ya vikao vya halmashauri
Hii itapunguza gharama na pia itawakilisha changamoto halisia kwani tutakuwa na mbunge ambaye kisheria anabanwa kushiriki vikao vya halmashauri pamoja na kushirikiana na jamii kwa karibu katika kutatua kero kama diwani.
Nakaribisha maoni mbadala