Uchaguzi 2020 Kwanini Wabunge wazoefu wa Upinzani hawajaenguliwa?


Kwamba ndo tumeanza jaza fomu mwaka huu mbna awamu zilizopita hawakukatwa
 
Kama wagombea wenu wanasaidiwa vitu vidogo kama kujaza form na wanategemea kwenda bungeni hivi wataweza kweli kuchambua na kurecommend Sheria na hoja mbalimbali?

Basi bunge litakuwa la vilaza wa kiwango Cha PhD

😁😁
 
CCM ilisambaza wanasheria nchi nzima kuwasaidia kujaza fomu .Upinzani kila mtu alikuwa akipambana kivyake

Kwa hiyo mlisaidia madiwani wenu na wabunge ila mkuu wenu mkashindwa mjazia fomu🤔 mbona yeye aliboronga pia
 
Maccm majitu ya ajabu kweli unakuta jitu Kama Nape ,Mwigulu yanaogopa ushindani kwenye sanduku la kura , Mwigulu anahangaika kumwengua Jesca Kishoa aibu kweli haya majitu
 
CCM ilisambaza wanasheria nchi nzima kuwasaidia kujaza fomu .Upinzani kila mtu alikuwa akipambana kivyake
Unachokisema kwa kiasi Fulani ni sahihi,kuna waliofanya makosa ya kijinga,nadhani pia chama hakikuwa serious na swala hili ingawa kuna wengine" wamehujumiwa" kwa namna moja au nyingine.
 
Kwani wageni ni wapinzani peke yao, hakuna ccm mgeni uchaguzi huu?!

Mbona hawajaenguliwa ccm hata mmoja?!

CCM hawajaenguliwa kwa sababu wakati wa kujaza fomu wanasheria wao(wanasheria wa CCM) wanawaongoza. Period.
 
Kwani Kati ya Mgombea urais wa ccm na chadema ni Nan alie kosea mashart ya form ikapelekea mpaka kutoka ukumbin usiku????
Kama mwanasheria namba moja wa uchaguz Tanzania ameshindwa kujaza vip Hao wengine
 
Hicho ndicho,ninachoshangaa, wala hawajasumbuliwa kama wengine. Kidogo prof.J walimsumbua. Lakini wapya wamesumbuliwa sana. Nadhani labda CCM walikuwa wanawakomaza kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…