Kwanini wabunge wetu hawaja azimia chochote from their payments?

labda wanasubiri tatizo likue ndo watajitolea
 
Ok
 
Hahahaaa.......kwa kiasi kikubwa lengo sio kuwawakilisha wananchi bali kuwakilisha matumbo yao
 
Hutaweza sikia hichokitu..ila wanaweza pitisha azimio mishahara ya watumishi wa umma ikatwe..wanasiasa wote wa Tz ni wachumia tumbo.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila ni ngumu ukizingatia watumishi hawajaonyezewa mishara na hawajapandishwa madaraja for almost 5 years now.......itakua kukanyaga kidonda
 
Serikali imeshatoa akaunti ili nyie raia mchangie na wabunge ni miongoni mwa raia hivyo watachangia kama nyie kimya kimya.
 
🀣🀣🀣🀣 watu wana mikopo expenses zao zipo juu mahitaji kibao kwa familia
alafu bado tuu waendelee kupunguza hahaaa sio tz hii aisee
Kwahiyo tuseme wengine wanaopunguza mishahara na posho zao expenses zao ziko chini?
AKUFAAYE KWA DHIKI.....
 
Kila mara huwa najiuliza...... *KWA NN WANAITWA WAHESIMIWA* Huwa nashamgaa zaidi nnaposikia hata makonda naye ni mheshimiwa
Hahaha...hili neno mheshimiwa limewapa sana kiki hawa wanasihasa hata kama kichwani ni weupe, aka. mazwazwa
 
Kwahiyo tuseme wengine wanaopunguza mishahara na posho zao expenses zao ziko chini?
AKUFAAYE KWA DHIKI.....
mifumo kwa wenzetu angalau inaeleweka na kama mtu ni tajiri basi ni tajiri haswa
huku kwetu mambo mda wowote yanabadilika
unatoa msaada leo kesho unaanguka hakuna anayekuangalia mara mbili
hivyo mtu anaona alichonacho bora aendelee kukitumia na familia yake tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…